Naomba nieleweke hii sasa inachosha sana leo tulikuwa ofisini posta umeme umekatika sana aese! Tunaomba maintanance inapofanyika ufanyike pia utaratibu wa kutangaza maeneo yatakayoathiriwa kutokana na matengenezo! Saizi mnakata shagarabagara, wananchi hawana tatizo na umeme kukatika ila kwa ukatikaji huu wa kila mara bila utaratibu inakera sana! Wilaya Temeke saizi maendeo mengi ni giza!