Naomba nieleweke hii sasa inachosha sana leo tulikuwa ofisini posta umeme umekatika sana aese! Tunaomba maintanance inapofanyika ufanyike pia utaratibu wa kutangaza maeneo yatakayoathiriwa kutokana na matengenezo! Saizi mnakata shagarabagara, wananchi hawana tatizo na umeme kukatika ila kwa ukatikaji huu wa kila mara bila utaratibu inakera sana! Wilaya Temeke saizi maendeo mengi ni giza!
Yaani kaka kama unashughuli inategemea umeme moja kwa moja mfano mambo ya ufundi na engineering uko pahala unafanya kazi ya maa mawili umeme unakata massa matatu! Means hapo umepoteza mda bure na kazi ya mteja haijakamilika kwa wakati hapo ndo mvurugano wa ratiba na majukumu! Lakini watu wanashangilia tu mama anaupiga mwingi!Tanesco ni kama mke anayegoma kutoa unyumba, dawa ilikuwa kuoa mke wa pili sema ndoa ni ya Kikatoliki.
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)Naomba nieleweke hii sasa inachosha sana leo tulikuwa ofisini posta umeme umekatika sana aese! Tunaomba maintanance inapofanyika ufanyike pia utaratibu wa kutangaza maeneo yatakayoathiriwa kutokana na matengenezo! Saizi mnakata shagarabagara, wananchi hawana tatizo na umeme kukatika ila kwa ukatikaji huu wa kila mara bila utaratibu inakera sana! Wilaya Temeke saizi maendeo mengi ni giza!
Ndugu mpendwa Mteja wetuNaomba nieleweke hii sasa inachosha sana leo tulikuwa ofisini posta umeme umekatika sana aese! Tunaomba maintanance inapofanyika ufanyike pia utaratibu wa kutangaza maeneo yatakayoathiriwa kutokana na matengenezo! Saizi mnakata shagarabagara, wananchi hawana tatizo na umeme kukatika ila kwa ukatikaji huu wa kila mara bila utaratibu inakera sana! Wilaya Temeke saizi maendeo mengi ni giza!