A
Anonymous
Guest
Mimi ni Mkazi wa Korogwe Msambiazi, March 2026 nilileta hoja hapa kuwa kuna tatizo la low voltage kwa umeme wetu kila siku ikifika saa moja jioni umeme unakatika katika kila baada ya dakika tano.
Nikaeleza kuwa tumejaribu kuwasilisha kero zetu TANESCO wanasema wanakuja kuongeza transformer kwa ajili ya kuongeza umeme lakini haikuwa hivyo.
Nashukuru hiyo changamoto kwa sasa ni kama imeisha maana haijatokea tena kwa muda, inawezekana TANESCO wamechukua hatua kurekebisha kwa kuwa hapo kati niliona wanasema wanashughulikia baada ya taarifa yetu kuchapishwa hapa JamiiForums.
Pia soma:
~ Mwaka wa 3 sasa TANESCO hawajaweka Transfoma hapa Msambiazi-Korogwe, tunateseka umeme kukatika
~ TANESCO yatolea ufafanuzi wa Kero zilizowasilishwa na Wadau kutoka JamiiForums, hatua za maboresho zimechukuliwa