JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema kuwa Menejimenti ya Ukumbi wa Mlimani City imewaaleza kwamba changamoto hiyo imetokana na TANESCO ambapo umeme unakatwa na kurejeshwa.
Amesema kufuatia changamoto hiyo menejimenti ya ukumbi imewahakikishia itatumia jenereta ili kuepuka changamoto hiyo ambayo imejitokeza zaidi ya mara tatu.
Pia soma ~ Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu?