Pre GE2025 Tanesco yadaiwa kuhujumu Mkutano Mkuu wa CHADEMA. Yakata umeme Lissu akihutubia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Inadaiwa wanakata umeme na kuwasha mara kwa mara

Taarifa hii ni kwa Mujibu wa Katibu Mkuu wa Chadema aliyoitoa Ukumbini hapo.

Nashauri wazime umeme wa Tanesco wawashe Generator.

Kuhusu uchaguzi wa Mwenyekiti na Makamu M/kiti fuatilia LIVE - Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu?

Hoyo dalili ya kwanza kwamba muda wa kuhesabu kura umeme utakatwa hivyo mnaandaliwa kisaikolojia mlizoee tatizo
 
Inadaiwa wanakata umeme na kuwasha mara kwa mara

Taarifa hii ni kwa Mujibu wa Katibu Mkuu wa Chadema aliyoitoa Ukumbini hapo.

Nashauri wazime umeme wa Tanesco wawashe Generator.

Kuhusu uchaguzi wa Mwenyekiti na Makamu M/kiti fuatilia LIVE - Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu?

Hoyo dalili ua kwanza kwamba muda wa kuhesabu kura umeme utakatwa hivyo mnaandaliwa kisaikolojia mlizoee
Huyu mtu kweli ni gaidi
Imekuwa mistake kubwa sana mbowe kukubali kununulika kirahisi
 
Walivyowapuuzi wakakata laini ya Mlimani City
 
Ni amri kutoka juu sisi tulilinda tu ugali wetu. Wa Tanzania mtusamehe
 
Back
Top Bottom