JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Hayo ni mapungufu ya serikali kusimamia demokrasia. Juzi na jana station zote ziliangazia mikutano ya CCM. Leo hata TV ya taifa haioneshi mkutano mkuu wa upinzani.Halafu wanaimba maridhiano.
Where?FAM must gooooooo
ni jambo la kawaida sana kutokea 🐒
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema kuwa Menejimenti ya Ukumbi wa Mlimani City imewaaleza kwamba changamoto hiyo imetokana na TANESCO ambapo umeme unakatwa na kurejeshwa.
Amesema kufuatia changamoto hiyo menejimenti ya ukumbi imewahakikishia itatumia jenereta ili kuepuka changamoto hiyo ambayo imejitokeza zaidi ya mara tatu.
Pia soma ~ Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu?
Mngelipia ukumbi wangewasha JeneretaInadaiwa wanakata umeme na kuwasha mara kwa mara
Taarifa hii ni kwa Mujibu wa Katibu Mkuu wa Chadema aliyoitoa Ukumbini hapo.
Nashauri wazime umeme wa Tanesco wawashe Generator.
DubaiWhere?
Hii ni sababu ya kijinga sana kwa uongozi wa hapo Mlimani city(wana back up Generator za maana kwa nini wasiwashe? ) Mbona hakuna sherehe iliwahi katikiwa umeme.Inadaiwa wanakata umeme na kuwasha mara kwa mara
Taarifa hii ni kwa Mujibu wa Katibu Mkuu wa Chadema aliyoitoa Ukumbini hapo.
Nashauri wazime umeme wa Tanesco wawashe Generator.
TANESCO watakuwa wanafanya rehasal. Hata kwenye majenereta wapo
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema kuwa Menejimenti ya Ukumbi wa Mlimani City imewaaleza kwamba changamoto hiyo imetokana na TANESCO ambapo umeme unakatwa na kurejeshwa.
Amesema kufuatia changamoto hiyo menejimenti ya ukumbi imewahakikishia itatumia jenereta ili kuepuka changamoto hiyo ambayo imejitokeza zaidi ya mara tatu.
Pia soma ~ Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu?
Unasikia Kwa nani?Nasikia Mbowe alishapanga ikifika muda wa kuhesabu kura lazima umeme ukatwe 🐼
Kukatika kwa umeme ni historia si jambo la kawaida, gentleman unaichafua serikali ya Dr. Samiani jambo la kawaida sana kutokea 🐒
WajumbeUnasikia Kwa nani?
Generator hawana, sa uo ushauri wako unasaidia nini?!Inadaiwa wanakata umeme na kuwasha mara kwa mara