TANESCO yatangaza baadhi ya maeneo katika mikoa 17 itakayokosa umeme kwa siku mbili Oktoba 9 & 10, 2022

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
TANESCO imeweka wazi sababu kuwa ni kuzimwa kwa laini 2 kubwa za umeme Kilovoti 220 kutoka Morogoro hadi Kinyerezi na Morogoro hadi Kidatu.

Baadhi ya Maeneo yatakayoathirika ni Dar es Salaam, Pwani, Tanga, Arusha, Morogoro, Iringa, Mbeya, Ruvuma, Njombe, Shinyanga, Tabora, Mwanza, Mara, Simiyu, Kilimanjaro, Manyara na Songwe.

Muda ambao umeme utakatwa ni saa 1:30 Asubuhi hadi 10:30 Jioni kwa Oktoba 9, 2022 na saa 1:30 Asubuhi hadi 9:30 Alasiri kwa Oktoba 10, 2022.

FejOk-ZXEAABhTz.jpg
 
View attachment 2380760
Haya maboresho siku yakiisha tufanye tambiko.duh!
 
Tuna shida kubwa sana Tanzania kwe umeme,nadhani kwe umeme ndiko pesa nyingi sana hupatikana ndio maana muda wote naona ni madili tu yanachezwa huko.........kwani kipindi kilichopita waliwezaje saiz kuna mgao karibu mikoa yote wa kimya kimya wala hatuambiwi,aisee!!
 
Anapogonga Nyundo Wasema Anapiga Kelele
Mtafutieni Nyundo Ya Silencer Aondoe Hizo Kelele
 
Halafu kwa huu ukame na mabadiliko ya tabia nchi sioni kama umeme wa maji na mabwawa utasaidia.

Inabidi wawekeze kwenye umeme wa gesi na umeme wa upepo na jua.

Hizo pesa walizowekeza kwenye bwawa wangejenga umeme $2.9 B wa upepo wangepata 2000 Megawatt za uhakika.
Au wangeendeleza miradi ya gesi. Mvua siku hizi changamoto kubwa
 
akili kubwa
 
Back
Top Bottom