Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Sasa wanaotumia umeme kwa kazi mbalimbali sindio tabu, dah Tanzania yanguHaya Mambo mnaleta siasa katika Maisha. Na joto lote mnataka kukata umeme?
Wasifanye Preventive Maintenance? Je wakilazimishwa na shutdown..!!Haya Mambo mnaleta siasa katika Maisha. Na joto lote mnataka kukata umeme?
Haya maboresho siku yakiisha tufanye tambiko.duh!TANESCO imeweka wazi sababu kuwa ni kuzimwa kwa laini 2 kubwa za umeme Kilovoti 220 kutoka Morogoro hadi Kinyerezi na Morogoro hadi Kidatu.
Baadhi ya Maeneo yatakayoathirika ni Dar es Salaam, Pwani, Tanga, Arusha, Morogoro, Iringa, Mbeya, Ruvuma, Njombe, Shinyanga, Tabora, Mwanza, Mara, Simiyu, Kilimanjaro, Manyara na Songwe.
Muda ambao umeme utakatwa ni saa 1:30 Asubuhi hadi 10:30 Jioni kwa Oktoba 9, 2022 na saa 1:30 Asubuhi hadi 9:30 Alasiri kwa Oktoba 10, 2022.
View attachment 2380760
Kweli mkuu hawasemi ukweli hawa.Haya maboresho siku yakiisha tufanye tambiko.duh!
Hahahahha, sasa wasifanye maboresho? πππHaya Mambo mnaleta siasa katika Maisha. Na joto lote mnataka kukata umeme?
Labda treni ziwe na power bank ndani kwa ndani πKWA STYLE HII TRENI ZA UMEME WATAEEZA KWELI
OVA
akili kubwaHalafu kwa huu ukame na mabadiliko ya tabia nchi sioni kama umeme wa maji na mabwawa utasaidia.
Inabidi wawekeze kwenye umeme wa gesi na umeme wa upepo na jua.
Hizo pesa walizowekeza kwenye bwawa wangejenga umeme $2.9 B wa upepo wangepata 2000 Megawatt za uhakika.
Au wangeendeleza miradi ya gesi. Mvua siku hizi changamoto kubwa