Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Inaweza ikawa sawa, lakini inategemea na miundo mbinu yao ipoje..!! Kama line ni moja and they do not have ring line, hayo yategemee sana tuPreventive maintainance karibu 3/4 ya Tanzania kwa wakati mmoja? Very insane.
Hata nchi zilizoathiriwa na majanga kama kimbunga huwezi kuta huu upumbavu unless level of severity ni kubwa mnooo.
Ajabu leo walisema wangekata, lakini haujakatika! Hawaaminiki hawa.Kabisa jana rau tumekosa umeme siku nzima wamerudisha karibia saa moja jioni
Du, hatari sana.TANESCO imeweka wazi sababu kuwa ni kuzimwa kwa laini 2 kubwa za umeme Kilovoti 220 kutoka Morogoro hadi Kinyerezi na Morogoro hadi Kidatu.
Baadhi ya Maeneo yatakayoathirika ni Dar es Salaam, Pwani, Tanga, Arusha, Morogoro, Iringa, Mbeya, Ruvuma, Njombe, Shinyanga, Tabora, Mwanza, Mara, Simiyu, Kilimanjaro, Manyara na Songwe.
Muda ambao umeme utakatwa ni saa 1:30 Asubuhi hadi 10:30 Jioni kwa Oktoba 9, 2022 na saa 1:30 Asubuhi hadi 9:30 Alasiri kwa Oktoba 10, 2022.
View attachment 2380760
Wakati nikiandika si kwamba nilikata kichwa kikawa kando. Ninafahamu masuala ya ukarabati wa dharura na ule wa kinga. Sisi hakuna lolote linalofanyika kwa kuzingatia hayo uliyosema. Ingekuwa ipo hivyo, tusingekosa umeme kwa sababu ya miundombinu.Preventive Maintenance hainaga mwisho..!! Ukiifikisha mwisho maana yake you are waiting for shutdown of which you will end up doing Breakdown Maintenance (BM). Usisahau, BM ina gharama...!!