TANESCO yatangaza mgao wa Umeme nchi nzima kwa siku nne

TANESCO yatangaza mgao wa Umeme nchi nzima kwa siku nne

Shirika la Umeme nchini Tanzania ( Tanesco) wametangaza mgao wa umeme nchi nzima ulioanza jana Ijumaa ambapo utaenda mpaka Jumatatu ya tarehe 11.

Hayo yote yametokana na kupungua kwa uzalishaji katika mtambo wa Songas.

Source:
Azam news
Ah ah. Nakujulisha ndg mleta mada kuwa huo ulikua uongo au majungu tu kama kawaida yao CCM, nimekuwa na umeme tangu ijumaa bila kukatika ivyo huu ni zaidi ya uzushi tu.
 
Shirika la Umeme nchini Tanzania ( Tanesco) wametangaza mgao wa umeme nchi nzima ulioanza jana Ijumaa ambapo utaenda mpaka Jumatatu ya tarehe 11.

Hayo yote yametokana na kupungua kwa uzalishaji katika mtambo wa Songas.

Source:
Azam news
Wazime tu siku wanasema magufuli aliichosha mitambo eti wao wanaipumzisha hahahahaga kweli WADANGANYIKA zeroo brain
 
Na kwa hali hii bado wanamsema mwendazake?

Hii nchi imekuwa kama gali bovu,yaani full kwenda garage kila siku,bidhaa bei juu,umeme mgao....
Na kwa hii baridi ya hapa njombe,ngoja tu tuendelee kulala na majiko ya mkaa,ili tukufwee,wafurahii..
 
Hii week yote kwetu wanakata tu sasa huo mgao ukianza si ndio tunalala gizani
 
Back
Top Bottom