MTK
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 8,924
- 6,854
Nyambafu Sako! Umeme kama wootee wikendi hii! [emoji240][emoji240][emoji240]Shirika la Umeme nchini Tanzania ( Tanesco) wametangaza mgao wa umeme nchi nzima ulioanza jana Ijumaa ambapo utaenda mpaka Jumatatu ya tarehe 11.
Hayo yote yametokana na kupungua kwa uzalishaji katika mtambo wa Songas.
Source:
Azam news