Nyambafu Sako! Umeme kama wootee wikendi hii! [emoji240][emoji240][emoji240]Shirika la Umeme nchini Tanzania ( Tanesco) wametangaza mgao wa umeme nchi nzima ulioanza jana Ijumaa ambapo utaenda mpaka Jumatatu ya tarehe 11.
Hayo yote yametokana na kupungua kwa uzalishaji katika mtambo wa Songas.
Source:
Azam news
TabularasaNyambafu Sako! Umeme kama wootee wikendi hii! [emoji240][emoji240][emoji240]
Hili toto jinga sanaAh ah. Nakujulisha ndg mleta mada kuwa huo ulikua uongo au majungu tu kama kawaida yao CCM, nimekuwa na umeme tangu ijumaa bila kukatika ivyo huu ni zaidi ya uzushi tu.
Yeye kama waziri wa sasa niya familia yake?Awaachie nyie Familia yenu au?
Ungekiwa kiongozi wa Chadema wadiojulikana wangekuwa tayari wamekukamata kimya kimya.Shirika la Umeme nchini Tanzania ( Tanesco) wametangaza mgao wa umeme nchi nzima ulioanza jana Ijumaa ambapo utaenda mpaka Jumatatu ya tarehe 11.
Hayo yote yametokana na kupungua kwa uzalishaji katika mtambo wa Songas.
Source:
Azam news
Naona umebobea kwenye kumtaja Mbowe maana kila uandikapo ni Mbowe tu.Zito Kabwe na Mbowe wanalamba asali tu
Zito Kabwe na Mbowe wanalamba asali tu
Zito ndo kaweka kichwa cha mviringo kwenye chungu kabisa sina uhakika kama kitatokaZito Kabwe na Mbowe wanalamba asali tu
Watu wa yuvisisiem bwana, sasa habari imetangazwa kwenye azam news nyie mnaleta habari za kutishana hapa...amkeni bhanaUngekiwa kiongozi wa Chadema wadiojulikana wangekuwa tayari wamekukamata kimya kimya.
we ni nani pale TANESCO? Una hamu ya kunya selo siyo?Shirika la Umeme nchini Tanzania ( Tanesco) wametangaza mgao wa umeme nchi nzima ulioanza jana Ijumaa ambapo utaenda mpaka Jumatatu ya tarehe 11.
Hayo yote yametokana na kupungua kwa uzalishaji katika mtambo wa Songas.
Source:
Azam news
Wewe si Azam na nia yako ni kuleta taharuki tu wakati huu wa sikukuu kwani unataka kusababisha waisilamu washindwe kuswalia sikukuu.Watu wa yuvisisiem bwana, sasa habari imetangazwa kwenye azam news nyie mnaleta habari za kutishana hapa...amkeni bhana
Umeandika nini sasa jamaa?Wewe si Azam na nia yako ni kuleta taharuki tu wakati huu wa sikukuu kwani unataka kusababisha waisilamu washindwe kuswalia sikukuu.