love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
Bora kufa kuliko kuishi Tanzania.Kinachokeraa hasa nchi hii ni kitendo cha walio madarakani kudharau wananchi pasi na uoga wowote. Yani wamejiamini kuwa hawawezi fanywa chochote kiasi cha kufanya kila upuuzi bila hata chembe ya hofu.
Watanzania tulivyoaminishwa kuwa amani ni kila kitu tuligubikwa na ujinga wa kufikiria kuwa upumbavu ndio amani yenyewe. Mungu atusimamie.