TANESCO yatangaza rasmi mgao wa umeme nchi nzima

TANESCO yatangaza rasmi mgao wa umeme nchi nzima

Shirika la Umeme nchini (TANESCO), limetangaza rasmi kuanza mgao wa umeme wa siku 10 kwa nchi nzima ili kuruhusu matengenezo ya mitambo ya kufua umeme kote nchini. Mgao huo utaanza Februari Mosi hadi 10 mwaka huu.

Chanzo: EATV
 
Kwenye awamu ya 5 TANESCO waliamuliwa kuwasha umeme nchi nzima bila kuzingatia matengenezo - sasa vinu vimechoka na haya ndiyo madhara yake.
 
Mwezi November na December tuliambiwa matengenezo pia
Au ndio kila mtu ale anapoweza

Viongozi wenye dhamana hata km watanzania ni wapole mwogopeni Mungu
 
Hapa nakubaliana na wewe, mama nae anapaswa kuongoza na kuwa raisi. Hakuna walioumbiwa uraisi peke yao.
Ila pia sikubaliani na mengine mabaya yanayotokea
Jamaa wa mfumo dume wanataka kumnyanyapaa SSH kwa jinsia yake na ndio hawa aliowasema siku ile ikulu kwamba wanasema yeye ni rais wa mpito.

Imekula kwao mazima, huyu ni mpaka 2025 Oktoba na akichanganya vyema karata zake ni mpaka 2030 Mungu akituweka hai.
 
Shirika la Umeme nchini (TANESCO), limetangaza rasmi kuanza mgao wa umeme wa siku 10 kwa nchi nzima ili kuruhusu matengenezo ya mitambo ya kufua umeme kote nchini. Mgao huo utaanza Februari Mosi hadi 10 mwaka huu.

Kwa kweli cha moto tunakiona...
 
mwendazake aliamuru TANESCO wasithubutu kuzima umeme nchi nzima no matter what - sasa haya ndiyo madhara yake - tutulie.
;'[['[;[/[']\[[[['[.......................................................................
 
Back
Top Bottom