TANESCO yatangaza rasmi mgao wa umeme nchi nzima

TANESCO yatangaza rasmi mgao wa umeme nchi nzima

Tanesco kuanza mgao wa umeme nchi nzima ili kuweka mambo sawa.
Mgao kuanza February 1
Hatimaye lililotabiriwa limetimia, ahsante January

View attachment 2098550

23AF6ECF-58C2-47E5-BF95-67D50720AA95.jpeg
 
Acha kuwa msambazaji wa chuki. Kiongozi wako alizunguka nchi nzima na marehemu JPM kuomba kura. Kasota juani kutafuta kura hivyo anayo haki ya kuongoza Tanzania.
Hapa nakubaliana na wewe, mama nae anapaswa kuongoza na kuwa raisi. Hakuna walioumbiwa uraisi peke yao.
Ila pia sikubaliani na mengine mabaya yanayotokea
 
17march 2021 tanzania tulipoteza rais bora duniani hatakuja kutokea tena.kama magao mwanzoni walisema mitambo inafnyiwa marekebisho nasasa ni marekebishe mengine...huu upore wa watanzania ipo siku itafika mwisho .
 
Back
Top Bottom