love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
Bora kufa kuliko kuishi Tanzania.Kinachokeraa hasa nchi hii ni kitendo cha walio madarakani kudharau wananchi pasi na uoga wowote. Yani wamejiamini kuwa hawawezi fanywa chochote kiasi cha kufanya kila upuuzi bila hata chembe ya hofu.
Watanzania tulivyoaminishwa kuwa amani ni kila kitu tuligubikwa na ujinga wa kufikiria kuwa upumbavu ndio amani yenyewe. Mungu atusimamie.
January na Kikwete nia yao ni kuleta makampuni yao yatuuzie umeme wa dharura. Je ni bwawa gani la kufua umeme lina uhaba wa maji?Tanesco kuanza mgao wa umeme nchi nzima ili kuweka mambo sawa.
Mgao kuanza February 1
Hatimaye lililotabiriwa limetimia, ahsante January
View attachment 2098550
Siwatetei. Ila mvua zilizonyesha ni ndogo sana aiseeNa mvua zote hizi?, Hebu tuhurumieni jamani, mnakula na sisi vipofu sawa! Msitushike mikono
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Mara ya mwisho wenyewe walisema sababu sio mvua na wakasema hata isiponyesha kwa mwaka mzima wanaweza kuendelea kuzalisha umemeSiwatetei. Ila mvua zilizonyesha ni ndogo sana aisee
HakikaJanuary na Kikwete nia yao ni kuleta makampuni yao yatuuzie umeme wa dharura. Je ni bwawa gani la kufua umeme lina uhaba wa maji?
Tanesco kuanza mgao wa umeme nchi nzima ili kuweka mambo sawa.
Mgao kuanza February 1
Hatimaye lililotabiriwa limetimia, ahsante January
View attachment 2098550
Mtamkumbuka uncle MaguNa mvua zote hizi?, Hebu tuhurumieni jamani, mnakula na sisi vipofu sawa! Msitushike mikono
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Chadema watu wa hivyo Sana,yaani wameshiriki kuiteka Serikali hadi wameamua kileta mgao?Tanesco kuanza mgao wa umeme nchi nzima ili kuweka mambo sawa.
Mgao kuanza February 1
Hatimaye lililotabiriwa limetimia, ahsante January
View attachment 2098550
Inatia uchungu sanaSad Days Indeed.....
Unaweza kudhani labda hii sio 21st Century yaani wamekosea ni 12th Century...., Na vyanzo vyote vilivyopo unaweza kudhani tupo Jangwani