TANESCO yatangaza rasmi mgao wa umeme nchi nzima

Sitopiga kura hadi pale nitapojihakikishia kuwa Kura yangu itahesabiwa na kutangazwa kama ilivyo-Prof Mussa Assad
Hakuna kitu kibaya kama kuwa na kiongozi ambaye hajapigiwa kura, hana cha kupoteza
 
Amfukuze kwani yeye ndio kamuweka hapo?
 
Safi sana

Maana watanzania hawajui mpaka sasa wanataka nini?

Reta mgawoooo huooo

Ova
Hadi damu itutoke maskion. Ila ipo siku halafu utokeaga ghafla tu bila kutarajiwa kama Gambia na Burkina faso. Yahya Jameh na Blaise Compaure walishadhani wanaongoza maiti ikatokea ghafla tu licha ya utawala wa vitisho
 
Wanataka watu wajiajiri,ila hawajui vichocheo vya kujiajiri.

-Saloon, welding,wauza juice,wauza maji na cold drinks zingine etc.....Sa100 liangalie hili

Kila la heri wauza majenerator,muda wenu wankupiga Pesa......

Simkubali JPM sana maana alitia kitumbua changu mchanga samuwea,ila Kwa hili la umeme atakumbukwa
 
Tanzania sisi wote ni kondoo tu,hakuna jipya
 
Hizo treni za umeme muagize na charger kabisa au battery ili zifanye kazi
 
Tuwe wavumilivu si wameleza sababu na kwa muda wa siku 10 tu
Kama umeajiriwa kama mdada wa kazi siku 10 si kitu, kwa sisi tunaochomelea mageti, milango, madirisha, magari na kazi zote zinazohitaji umeme masaa mawili ni hasara kwetu sasa mgao kwa siku 10! Twafa.
 
Hivi kuna sehemu Tz umeme huwa 24/7?
Maana unaelezewa kama ndio mara ya kwanza mgao unaanza
Sisi tumeamua kuweka solar miaka mingi tu
Back in 2019 Arusha umeme haukuwa ukikatika hovyo na siku ukikatika ni haukai sanaa unarudi mpaka nikawa nawadodorishia home ‘Dar… ila sahivi cha moto tunakipata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…