TANESCO yatumia Tsh milioni 600 kufuga vyura wa Kihansi Marekani

TANESCO yatumia Tsh milioni 600 kufuga vyura wa Kihansi Marekani

Nkerejiwa

Senior Member
Joined
Feb 25, 2014
Posts
147
Reaction score
219
Tanesco huu ni wizi


do8vw1.jpg
 
Hii nimecheka tu, lakini ipo kwa zaidi ya miaka 20, so tusilaumiane.

Pia ripoti ya CAG inahitaji context kuielewa na kupima ukweli wa mambo, nani anajua kwanini tulikubali kusaidiwa kuwahifadhi hao vyura??

Unajua sisi kama nchi tunapokea fedha kiasi gani kwenye mambo ya uhifadhi?? Unajua tukikataa kutunza hao vyura tutapoteza nini na nini?

Diplomasia ya uchumi ni pana sana, na wajinga wengi hawawezi kuielewa.
 
Huu upuuzi utavumiliwa mpaka lini?
Usomi ni jambo moja na kuwa na akili nzuri ni jingine.
Hii mikataba imeandikwa kisomi sana.
Kwa akili ya kawaida, chura wa Tanzania ataishi vizuri kiasli Afrika Mashariki kuliko Marekani.
Kwa nini hawakutafuta equivalent natural habitat huku huku?
Hata wazee wa kienyeji wangeweza hilo.
 
Back
Top Bottom