TANESCO yatumia Tsh milioni 600 kufuga vyura wa Kihansi Marekani

Habari wajameni!

Naomba moderator rekebisha title isomeke CAG report imeeleza vyura wa kihansi, Morogoro wanalamba asali
 
Unaambiwa mwaka 2020 uliisha huu mradi kipara na maharage wakaurudisha soma report vizuri
 
SASA NI RASMI, SISI WATANZANIA NI WAPUMBAVU!!

Kuanzia Tiss, jwtz, polisi na raia wote nikiwemo na mimi SISI SOTE NI WAPUMBAVU TU.

Kwanini???


Wanasiasa wanafanya vyovyote wanavyojisikia na hatuna cha kuwafanya, tunaishia kubweka bweka mtandaoni na vijiweni lakini hatuna cha kuwafanya.

SISI NI WAPUMBAVU!!!!!!! SISI NI WAPUMBAVU!!!! SISI NI WAPUMBAVU!!!!!!!!
 
Asante mkuu!Watz wengi ni mazumbukuku wa kuropoka bila tafakari yoyote.
 
Leo na hii Ijumaa Kuu umeamka na hasira sana, mkuu. 🙂
 
Wakati Januari anawekwa hapo wizarani mataahira yakawa yanashangilia eti marehemu anakomolewa!

Eti alitumwa kuua legacy. Kumbe sasa anawaua wenyewe. Na bado.
 
Wa vyura kulamba asali au?

Ufafanuzi tafadhari
Vyura washindwe kuishi kwenye makazi yao waliyokulia, waende kuishi Marekani? Litanzania lote hili, walikosa sehemu ya kuwaweka?

Hili jambo lilishajadiliwa mjengoni, ni nani anapaswa kusimamia au kuhakikisha maazimio ya bunge yanatekelezwa? Na yasipotekelezwa nini kinafanyika?

Ni UPUUZI zaidi kusema, "....hii sio sawa, hapa hapaendi sawa..." kisha mwisho unamalizia "....NAUNGA MKONO HOJA mh spika...."

No wonder, qualification ni kujua kusoma na kuandika; Professors, wanazuoni na wasomi walioko humo nao wamekuwa DIMINISHED to that level.
  • ATC hawajui wanayemdai
  • Bei ya ndege inaongezwa mara 2.15
  • Bi 88 zapigwa halmashauri
  • Tanesco na miradi isiyo na Tija, usd 30m
  • Wabadhirifu kubebembelezwa watupishe
  • Nnauye kuwa msemaji wa mitandao ya simu
  • Waziri wa fedha kuwa mmiliki wa klabu za mpira kila anapopewa uwaziri
  • Bil 400 kulipwa kama faini kwa kandarasi kisa ucheleweshaji wa malipo, hapa watu wanatumia hii loophole kulamba asali
  • Tanesco kuanza kununua umeme toka kwa IPP tena, akina Ruge wamerudi

Ukiorodhesha, server itajaa, itoshe kusema PUNDA BILA VIBOKO, HAENDI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…