kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
RIP, yeye na Mungu wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamemtupa huyo labda,Hii style ya kujirusha ghorofani naona inashika kasi
Huko sasa watajua wenyewe 😁Wamemtupa huyo labda
Kazi maalumu ni kuwaumbua wenzie
Pesa sio kila kituJamaa yupo kwenye ajira nono ....afu anajiua ,[emoji23][emoji23][emoji23]
Kweliii upele humuota asiyena kucha
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hahaa kweli lakini
Sema me iliniuma 😄 nikaona hawana utu but walifanya sahihi maisha lazima yaendelee
Halafu akajirusha?Mwananchi imefahamishwa kuwa Richard alikuwa miongoni mwa watumishi wa TRA waliokuwa jijini Tanga kwa kazi maalumu ya kuandaa taarifa ya Mamlaka hiyo ya mwaka.
Chanzo: Mwananchi
SijuiYa kichawi au?
Kuruka na kujirusha ni sawa ?Kuruka kutoka ghorofa ya pili sidhani kama unaweza kufa maana nilishawai kuruka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajajiua huyo!Jamaa yupo kwenye ajira nono ....afu anajiua ,[emoji23][emoji23][emoji23]
Kweliii upele humuota asiyena kucha
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa bhanaJamaa yupo kwenye ajira nono ....afu anajiua ,[emoji23][emoji23][emoji23]
Kweliii upele humuota asiyena kucha
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hatari sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥Makazini kuna mambo magumu sana ndg zangu unaweza ukawa unapiga kazi zako kwa weledi tu kwa mujibu wa sheria,kanuni na taratibu lakini kuna watu watakutafutia sababu uharibikiwe sasa bila kuwa na sala hutoboi inakujia maamuzi magumu unarudi kwa muumba wako na ndg unawashirikisha mambo yanakaa sawa kiukweli makazini kuna mambo huyo utakuta kafanyiwa ukuda akahisi yupo ndotoni kumbe ndo haya