Tanga: Auawa kwa kuchomwa kisu, inadaiwa chanzo kumuomba maji ya kunywa aliyefunga

Tanga: Auawa kwa kuchomwa kisu, inadaiwa chanzo kumuomba maji ya kunywa aliyefunga

Hwijaliahi sababu,kuuana mwezi mtukufu sio poa
Wakati mwingine jambo utokea haraka kiasi ambacho hata mtu mwenyewe baada ya sekunde chache ndio anakumbuka kumbe angeweza kufanya uamuzi mwingine ambao ungekuwa ni sahihi zaidi lakini tayari anakuwa ameshachelewa na hakuna namna ya kurekebisha.
Kuna uwezekano mkubwa hivi sasa muuaji anajuta sana kwa uamuzi wake wa haraka haraka.
 
Back
Top Bottom