Tanga: Auawa kwa kuchomwa kisu, inadaiwa chanzo kumuomba maji ya kunywa aliyefunga

Tanga: Auawa kwa kuchomwa kisu, inadaiwa chanzo kumuomba maji ya kunywa aliyefunga

Mwamba kaonesha uthubutu..hivyo rewards yake ni bikra 72🤣🤣..mamaee dini zingine inahitaji mentall illness kua muumin
 
Walipo ichapisha wakaandika kuwa chanzo cha kifo hicho nini?
"inadaiwa"
20230407_155731.jpg
 
Shutuma na tuhuma hutangulia kabla ya uchunguzzi. Umejifunzia wapi mambo ya uchunguzi yanayokataza kumtuhumu mtu kwa sababu uchunguzi haujakamilika?
Wewe ufahamu wako mdogo kama sio mdogo basi unajidanganya,talifa ya kamanda imesema bado awajabaini sababu haswa ya kifo hicho wewe unajifanya kujua chanzo kama sio ujinga nini??
 
Kuna waislamu tunaishi nao vizuri mtaani na wametukubali namna tulivyo licha ya kuwa wanajua sisi wengine ni Atheists lakini bado wanatupa ushirikiano mzuri.

Hao kwangu wameendelea kuni treat kama family

Sijapenda namna ulivyowaita
Mpumbavu utamjua kwa kunena
 
Hu uzi umeanzishwa na kuchochea kwa lengo la kudhalilisha dini fulani hamna ukweli wowote, na mods wa humu, dini fulani ikidhalilishwa wanaka kimya ila ukigusa upande mgine uzi unafutwa haraka, hata kama lengo sio kudhihaki hiyo imani, tujitahidi kutokuwa na upande hi stori ya kuomba maji imetungwa, kwanza anamuomba maji kama nani wakati ni majirani hajui maji ya lipo mpaka amuombe mwanaume mwenzie?
Akili yako kubwa,waabu sanamu akili yao ndogo lakini sio ajabu wange kuwa na ufahamu wasinge shutumu bila ushahidi tangu lini muabudu sanamu akawa timamu!?
 
Makaririsho yanapochukua nafasi ya utu wetu....
 
Hivi mtu akiwa katika funga/toba si ndivyo anatakiwa awe mkarimu,msikivu,mvumilivu na mwenye kutoa(sadaka)zaidi?Hapo imekuwaje tena?
 
Bwan hassan alikuwa katika swaum , ugomvi wowote haukutakiwa kuwa kipaumbelle kwenye mwezi huu wa haki.
Unaamini mtu akiwa kwenye saumu ndio anatakiwa awe kama zombi afanywe chochote na yeye anyamaze tu! Hata hivyo kamanda hajatoa conclusion kwamba ugomvi huo umetokana na hiyo dhana ya mfungaji kuombwa maji ya kunywa na ndio maana wanaendelea na upelelezi.
 
Mama ntilie wa kiislam wanahudumia wateja kama kawa! Huyo muuaji ni bwege tu!
Huu ndio ukweli,kama anaishi nyumba hiyo hiyo,angekwenda kuchukuwa maji mwenyewe,akanywa bila kuomba kwa mtu mwingine.
Kwanza katika uislamu,mgonjwa hafung
 
Back
Top Bottom