25000q
JF-Expert Member
- Dec 27, 2022
- 4,805
- 3,762
Wewe ndie mjinga zaidi ulie soma msitali 1 kisha ukatoa hukumu utadhani ulikuwepo[emoji14][emoji14]Baadhi ya waumini wa hizi dini hasa hii ya Kiislamu ni wajinga wenye misimamo iliyopitiliza ona sasa ujinga unavyokugharimu kisa kufunga Ramadan je ndivyo dini zinavyoelekeza?.