Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujambo dogo.?
Bwan hassan alikuwa katika swaum , ugomvi wowote haukutakiwa kuwa kipaumbelle kwenye mwezi huu wa haki.Umemuelewa kamanda lakini usilete mihemko yako,RPC amesema kuna taarifa mbili tofauti na wao wanazifanyia kazi kujua ukweli ni upi.
Kuombwa maji akiwa kafunga ni dhambi, Ila kumchoma mwenzie kisu na kumuua sio dhambi. Hao ndio wavaa kobazi
Hujawa kusikia wameuana kisa Tshsb500? Hapo unaweza kuta wametoleana maneno machafu ndio wamefikishana hukoKuombwa maji akiwa kafunga ni dhambi, Ila kumchoma mwenzie kisu na kumuua sio dhambi. Hao ndio wavaa kobazi
I am not taking it personally lakini hiyo thinking yenu vijana kwa kweli inanikwaza sana. Siku hizi kila kitu kinatafsiriwa kidini wakati ukiangalia (mfano huyu muuaji) utakuwa aidha walikuwa na jambo lao au hasira za kibinadamu ambazo baadhi ya watu huwa nazo (awe muislamu au mkristo). Hajatumwa na dini yake lakini hapa italazimiishwa ionekane ni issue ya dini, hasa akiwa muislamu.Don't take it personally,ni haramu lakini zisiwe sababu za kipumbavu zitokanazo na amri za imani.
Ngoja nikae kimyaKuombwa maji akiwa kafunga ni dhambi, Ila kumchoma mwenzie kisu na kumuua sio dhambi. Hao ndio wavaa kobazi
Hayo na mengine kadhaa hunifanya mimi kuiona dini kama falsafa nyingine za dunia.Mwezi wa toba inakuwaje hasira tena?
RIP
Islam DiniDini ya amani imestrike tena
Viongozi wako wa dini hawakuwahi kukufunza kutokuzini lakini bado umekua mzinifu nguli na huna dalili za kuacha!?Don't take it personally,ni haramu lakini zisiwe sababu za kipumbavu zitokanazo na amri za imani.
Nisome kwa umakini sikutaka mabishano nimesisitiza viongozi wa dini husika kama wapo ambao ni makini wawafundishe waumini namna njema ya kutenda mambo yahusuyo dini na yasiyohusu dini,hata kama sababu zikawa siyo tajwa hapo juu kitendo cha yeye kufanya mauwaji kwenye mwezi huu unaosemwa ni mtakatifu huyo hajui au hawajui wanachokiabudu.