inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Hukusoma jino kwa jino kwenye biblia!?Tangu nisikie "kisasi ni haki"sishangai kwa hiki kilichotokea kwa vijana wa mnyazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hukusoma jino kwa jino kwenye biblia!?Tangu nisikie "kisasi ni haki"sishangai kwa hiki kilichotokea kwa vijana wa mnyazi
Kwa sababu u mpuuzi usiyeweza changanua mamboHayo na mengine kadhaa hunifanya mimi kuiona dini kama falsafa nyingine za dunia.
Wao wenyewe wanasema ukiua katika harakati za kumtetea mungu wao (na hasa mwuawa akifa ni ^KAFIR^), basi hiyo directly ni heri na barkha 🙂Kuombwa maji akiwa kafunga ni dhambi, Ila kumchoma mwenzie kisu na kumuua sio dhambi. Hao ndio wavaa kobazi
Hakuna mtu aliyeigundua dini, wewe mpuuzi. Dini ni sehemu ya asili ya mwanadamu. Ni pande mbili shikamani, tangamani, kama zilivyo pande mbili za sarafu.Dini ni kitu cha kipuuzi sana kuwahi kugunduliwa na binaadamu katika uso wa dunia
Wewe mjanja ni wapi nimelaumu dini??Nimetoa sentensi iliyojitosheleza kabisa ya kuwa Dini ni kitu cha kipuuzi kuwahi kugunduliwa na binaadamu, nazidi kuamini katika sentinsi yangu kwa jinsi ulivyonijibu kwa kukurupuka, haya nieleze Kingunge ngombale - Mwiru alikua dini gani??Hakuna mtu aliyeigundua dini, wewe mpuuzi. Dini ni sehemu ya asili ya mwanadamu. Ni pande mbili shikamani, tangamani, kama zilivyo pande mbili za sarafu.
Nitajie mtu japo mmoja asiye na dini, nami ntakuwa wa kwanza kukubaliana na hoja yako mfu.
Dini haiwezi kulaumiwa; watumiaji ndio wanaopaswa kulaumiwa. Huwezi kukilaumu kisu kilichopelekea umauti wa Amiri. Ndiyo sababu jeshi la polisi linashughulika na mhusika.
Umeelewa?
Wabongo bhana mtoa tarifa hana uwakika wewe unatuhumu dini[emoji2957]Upuuzi wa dini again...
Ulikuwepo?Dini ya amani imestrike tena
NdioUlikuwepo?
Kadome tarifa mpaka mwisho wewe usilete ujinga wako hapaKuombwa maji akiwa kafunga ni dhambi, Ila kumchoma mwenzie kisu na kumuua sio dhambi. Hao ndio wavaa kobazi
Jamaa kalaumu dini bila baada ya kusoma kichwa cha habari hili nalo ni tatizoUmemuelewa kamanda lakini usilete mihemko yako,RPC amesema kuna taarifa mbili tofauti na wao wanazifanyia kazi kujua ukweli ni upi.
Dini inaingiaje hapa?wewe umejua chanzo kuliko kamanda wa polisi au ujinga unakutumaDini ni kitu cha kipuuzi sana kuwahi kugunduliwa na binaadamu katika uso wa dunia
Wabongo baadhi yao hovio kabisa ujaelewa kilicho andikwa alafu unashutumuKuomba maji tu kusababishe kumchoma kisu!! Rest in peace Amiri
Ukiwa mkubwa (kiakili) utaelewaDini inaingiaje hapa?wewe umejua chanzo kuliko kamanda wa polisi au ujinga unakutuma
Ni wazi hujui maana ya dini, wewe MastaKirakaWewe mjanja ni wapi nimelaumu dini??Nimetoa sentensi iliyojitosheleza kabisa ya kuwa Dini ni kitu cha kipuuzi kuwahi kugunduliwa na binaadamu, nazidi kuamini katika sentinsi yangu kwa jinsi ulivyonijibu kwa kukurupuka, haya nieleze Kingunge ngombale - Mwiru alikua dini gani??
Dini ni nini?Ni wazi hujui maana ya dini, wewe MastaKiraka
Kuna waislamu tunaishi nao vizuri mtaani na wametukubali namna tulivyo licha ya kuwa wanajua sisi wengine ni Atheists lakini bado wanatupa ushirikiano mzuri.Narudia kusema hv, Waislamu wote duniani ni wapumbavu, magaidi, wabakaji.
Unashutumu vipi aliyakuwa uchunguzi aujambaini?Huyo ni mpumbavu sana ndio wale hawajawahi fika hata madina huko kutalii.
Kuna wajinga wengine nimepishana nao wameziba njia/barabara wamebebelea sijui nini huko wanaita njia ya msalaba
Ujinga ujinga ujinga
Wewe akili ndogo polisi wanasema chanzo cha kifo hicho bado ni utata wewe tayali umaisha jua chanzo ujinga ni mzigoKuna mwingine akiwa kwenye mfungo sio kwamba anajiona yeye ni muislamu tu anajiona yeye ni mwarabu tena mwarabu toka Saudi Arabia. Unamuua mwafrika mwenzio kisa dini ya waarabu