Tanga kiingilio elfu 20! Hawa TFF wako sawa sawa kweli?

Kuna watu kweli akili zao sijui kama Zina weza kufikiria vyema hasa katika kipindi hiki kigumu na Cha mpito

Tanga wameangalia mechi 2 mfululizo kwa KIINGILIO Cha elfu 10 na kuendelea .tena ndani ya siku tatu mtu atoe tena elfu 20 ili kuona fainal...
Hiki ndicho walichokuwa wanakitafuta, wapige pesa tu. Mengine hawana habari nayo.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Sio bidhaa ya lazima kusema wakikosa watakufa...... Acha wenye uwezo waingie
 
Yanga tutalipia,tuliza munkari
 
Kulingana na mazingira ya Mkwakwani hicho kiingilio Kipo Sawa kabisa....
Kumbuka hii ni YANGA VS SIMBA mtoto hatumwi dukani... Ikiwa 5000 watu watauana
 
Uwanja ule ni mdogo hapo wanatumia kiingilio ili kupunguza watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…