Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Mzunguko ilitakiwa iwe 30,000 tsh.iyo ishirini bado ni ndogo kwa ule uwanja ulivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiki ndicho walichokuwa wanakitafuta, wapige pesa tu. Mengine hawana habari nayo.Kuna watu kweli akili zao sijui kama Zina weza kufikiria vyema hasa katika kipindi hiki kigumu na Cha mpito
Tanga wameangalia mechi 2 mfululizo kwa KIINGILIO Cha elfu 10 na kuendelea .tena ndani ya siku tatu mtu atoe tena elfu 20 ili kuona fainal...
Mechi mbili 20k naona ni sawa tu
Sio bidhaa ya lazima kusema wakikosa watakufa...... Acha wenye uwezo waingieFactors that affect demand. 1. Consumers Income. Kumbuka demand ni willing and ability, unaweza ukawa na willing but hauna ability, unaweza ukawa na ability ya kununua maji ya kilimanjaro ila ukaamua kununua afya.
Kipato cha jamii husika eneo hilo kitaathiri hiyo demand, watu wapo willing ila hawana uwezo.
Yanga tutalipia,tuliza munkariKuna watu kweli akili zao sijui kama Zina weza kufikiria vyema hasa katika kipindi hiki kigumu na Cha mpito
Tanga wameangalia mechi 2 mfululizo kwa KIINGILIO Cha elfu 10 na kuendelea .tena ndani ya siku tatu mtu atoe tena elfu 20 ili kuona fainali.????
Au Azam wamewaambia muweke viingilio vikubwa ili watu wasije walipie ving'amuzi???
Acheni hizo habari aiseeee ! Punguzeni viingilio hivyo
Sijawai ona ngao ya jamiii hata moja nchin ikawa na KIINGILIO kuanzia elfu 20
Maisha ni magumu sio mchezo
Kwanza Tanga yenyewe kavu kinoma
Kila mtu anadaiwa vicoba sio mume sio mke
Punguzeni viingilio acheni kupima watu kama wanapenda Mpira au hawapendi
Majukwaa mtayakuta meupe hayo .watu wanawaangalia tu.
Mtachagua Moja wenyewe either kuingiza watu Bure kama yanga Africa au kupunguza KIINGILIO.
Yangu ni hayo na nimekaaa pale naangalia uwanja utakavyokuwa mweupe.View attachment 2714648
Akili iliyopeleka mechi Tanga inashangaza sana
usiseme kwa nguvuuu sasa(in brother k voice)Simba mnapenda kulalamika,mmezoea viingilio vyenu vya aftatu!!
Uwanja ule ni mdogo hapo wanatumia kiingilio ili kupunguza watu.Kuna watu kweli akili zao sijui kama Zina weza kufikiria vyema hasa katika kipindi hiki kigumu na Cha mpito
Tanga wameangalia mechi 2 mfululizo kwa KIINGILIO Cha elfu 10 na kuendelea .tena ndani ya siku tatu mtu atoe tena elfu 20 ili kuona fainali?
Au Azam wamewaambia muweke viingilio vikubwa ili watu wasije walipie ving'amuzi?
Acheni hizo habari aiseeee ! Punguzeni viingilio hivyo
Sijawai ona ngao ya jamiii hata moja nchin ikawa na KIINGILIO kuanzia elfu 20
Maisha ni magumu sio mchezo
Kwanza Tanga yenyewe kavu kinoma
Kila mtu anadaiwa vicoba sio mume sio mke
Punguzeni viingilio acheni kupima watu kama wanapenda Mpira au hawapendi
Majukwaa mtayakuta meupe hayo .watu wanawaangalia tu.
Mtachagua Moja wenyewe either kuingiza watu Bure kama yanga Africa au kupunguza KIINGILIO.
Yangu ni hayo na nimekaaa pale naangalia uwanja utakavyokuwa mweupe.
View attachment 2714648