Tanga kiingilio elfu 20! Hawa TFF wako sawa sawa kweli?

Tanga kiingilio elfu 20! Hawa TFF wako sawa sawa kweli?

Kuna watu kweli akili zao sijui kama Zina weza kufikiria vyema hasa katika kipindi hiki kigumu na Cha mpito

Tanga wameangalia mechi 2 mfululizo kwa KIINGILIO Cha elfu 10 na kuendelea .tena ndani ya siku tatu mtu atoe tena elfu 20 ili kuona fainal...
Hiki ndicho walichokuwa wanakitafuta, wapige pesa tu. Mengine hawana habari nayo.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Factors that affect demand. 1. Consumers Income. Kumbuka demand ni willing and ability, unaweza ukawa na willing but hauna ability, unaweza ukawa na ability ya kununua maji ya kilimanjaro ila ukaamua kununua afya.

Kipato cha jamii husika eneo hilo kitaathiri hiyo demand, watu wapo willing ila hawana uwezo.
Sio bidhaa ya lazima kusema wakikosa watakufa...... Acha wenye uwezo waingie
 
Kuna watu kweli akili zao sijui kama Zina weza kufikiria vyema hasa katika kipindi hiki kigumu na Cha mpito

Tanga wameangalia mechi 2 mfululizo kwa KIINGILIO Cha elfu 10 na kuendelea .tena ndani ya siku tatu mtu atoe tena elfu 20 ili kuona fainali.????

Au Azam wamewaambia muweke viingilio vikubwa ili watu wasije walipie ving'amuzi???

Acheni hizo habari aiseeee ! Punguzeni viingilio hivyo

Sijawai ona ngao ya jamiii hata moja nchin ikawa na KIINGILIO kuanzia elfu 20

Maisha ni magumu sio mchezo
Kwanza Tanga yenyewe kavu kinoma
Kila mtu anadaiwa vicoba sio mume sio mke

Punguzeni viingilio acheni kupima watu kama wanapenda Mpira au hawapendi

Majukwaa mtayakuta meupe hayo .watu wanawaangalia tu.

Mtachagua Moja wenyewe either kuingiza watu Bure kama yanga Africa au kupunguza KIINGILIO.

Yangu ni hayo na nimekaaa pale naangalia uwanja utakavyokuwa mweupe.View attachment 2714648
Yanga tutalipia,tuliza munkari
 
Kulingana na mazingira ya Mkwakwani hicho kiingilio Kipo Sawa kabisa....
Kumbuka hii ni YANGA VS SIMBA mtoto hatumwi dukani... Ikiwa 5000 watu watauana
 
Kuna watu kweli akili zao sijui kama Zina weza kufikiria vyema hasa katika kipindi hiki kigumu na Cha mpito

Tanga wameangalia mechi 2 mfululizo kwa KIINGILIO Cha elfu 10 na kuendelea .tena ndani ya siku tatu mtu atoe tena elfu 20 ili kuona fainali?

Au Azam wamewaambia muweke viingilio vikubwa ili watu wasije walipie ving'amuzi?

Acheni hizo habari aiseeee ! Punguzeni viingilio hivyo

Sijawai ona ngao ya jamiii hata moja nchin ikawa na KIINGILIO kuanzia elfu 20

Maisha ni magumu sio mchezo
Kwanza Tanga yenyewe kavu kinoma
Kila mtu anadaiwa vicoba sio mume sio mke

Punguzeni viingilio acheni kupima watu kama wanapenda Mpira au hawapendi

Majukwaa mtayakuta meupe hayo .watu wanawaangalia tu.

Mtachagua Moja wenyewe either kuingiza watu Bure kama yanga Africa au kupunguza KIINGILIO.

Yangu ni hayo na nimekaaa pale naangalia uwanja utakavyokuwa mweupe.
View attachment 2714648
Uwanja ule ni mdogo hapo wanatumia kiingilio ili kupunguza watu.
 
Back
Top Bottom