Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanga kuna tatizo sio bure kwa umati huo!Shamrashamra za wananchi kwenye mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga tarehe 28 Februari, 2025.
View attachment 3253356View attachment 3253357View attachment 3253358View attachment 3253359View attachment 3253360View attachment 3253361View attachment 3253362View attachment 3253363View attachment 3253364View attachment 3253365View attachment 3253366View attachment 3253367View attachment 3253368View attachment 3253369View attachment 3253370View attachment 3253371View attachment 3253372View attachment 3253373
How? what do you mean?Kunuka mavi
Coat of arms ipi?Naomba kufahamishwa kawanini coat of arms wameondoa wale bibi na bwana?
Serikali Inachezewa Tu Yaani Nembo Muhimu Inakosa Vitu Muhimu Na Inaonekana Sawa SawaNaomba kufahamishwa kawanini coat of arms wameondoa wale bibi na bwana?
Hili jambo lipo muda mrefu. Labda wana sababu.Serikali Inachezewa Tu Yaani Nembo Muhimu Inakosa Vitu Muhimu Na Inaonekana Sawa Sawa
Nimefika tayari kwa kishindoLucas Mwashambwa unaitwa huku
MIJITU YA PWANI OVYOKujaza hao watu hapo wamehusika mkuu wa mkoa / walaya, mkurugenzi, katibu wa mkoa bado viongozi wa chama na machawa waliopakiwa kwenye malori ulitegemea usijae?
Una maanisha nini?MIJITU YA PWANI OVYO
Huo umati wa watu umetoka pande zote za nchiMwambieni mama, hapo amezungukwa na kundi la watu wanaoishi chini ya dola moja na upande mwingine amezungukwa na kundi la watu ambao kazi yao nikuwafanya hao maelfu waishi chini ya dola moja.
Sidhani kama kwenye hilo kusanyiko la oyaoya kuna mtu mwenye kipato cha uhakika cha kuanzia 1,000,000 na kuendelea.
Tuupige vita umasikini ili tuache kutumiwa kijingajinga baadala yake tuishi kwa kutumia akili zetu na kuamua kwa akili zetu.