Pre GE2025 Tanga: Mafuriko ya Rais Samia katika Uwanja wa Mkwakwani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Shamrashamra za wananchi kwenye mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga tarehe 28 Februari, 2025.
 
Mwambieni mama, hapo amezungukwa na kundi la watu wanaoishi chini ya dola moja na upande mwingine amezungukwa na kundi la watu ambao kazi yao nikuwafanya hao maelfu waishi chini ya dola moja.

Sidhani kama kwenye hilo kusanyiko la oyaoya kuna mtu mwenye kipato cha uhakika cha kuanzia 1,000,000 na kuendelea.

Tuupige vita umasikini ili tuache kutumiwa kijingajinga baadala yake tuishi kwa kutumia akili zetu na kuamua kwa akili zetu.
 
Naomba kufahamishwa kawanini coat of arms wameondoa wale bibi na bwana?
 
Kujaza hao watu hapo wamehusika mkuu wa mkoa / walaya, mkurugenzi, katibu wa mkoa bado viongozi wa chama na machawa waliopakiwa kwenye malori ulitegemea usijae?
 
Kujaza hao watu hapo wamehusika mkuu wa mkoa / walaya, mkurugenzi, katibu wa mkoa bado viongozi wa chama na machawa waliopakiwa kwenye malori ulitegemea usijae?
MIJITU YA PWANI OVYO
 
Huo umati wa watu umetoka pande zote za nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…