Kujaza hao watu hapo wamehusika mkuu wa mkoa / walaya, mkurugenzi, katibu wa mkoa bado viongozi wa chama na machawa waliopakiwa kwenye malori ulitegemea usijae?
wakati nipo shule Tanga school nakumbuka tushapanda sana zile bus za tashriff na tahmeed. eti wanafunzi twende tukajazane mkwakwani ilimradi ionekane kulikuwa na mwitikio wa raia. aibu sana hiki Chama Cha Mbogamboga
Itakuwa wasanii wakutumbuiza walikuwepo wakutosha, mama hanaga mvuto hasa jukwaani hotuba zake zimepooza sana...watu wengi hawawezi enda kumsikiliza pasipo hadaa!.
Ccm kimekuwa chama cha hovyo kinachofanya serikali nayo ionekano ya hovyo. Serikali ni ya watanzania wote hayo mambo ya uccm kwenye shughuli za kiserikali hayakutakiwa kuwepo kwa sababu yanawagawa watu.
Kujaza hao watu hapo wamehusika mkuu wa mkoa / walaya, mkurugenzi, katibu wa mkoa bado viongozi wa chama na machawa waliopakiwa kwenye malori ulitegemea usijae?