Uchaguzi 2020 Tanga: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Uchaguzi 2020 Tanga: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Wakuu,

Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Tanga. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.

Mkoa wa Tanga una una jumla ya majimbo ya uchaguzi 12 ambayo ni

Tanga Mjini:
Ummy Mwalimu (CCM) - Kura 114,445
Mussa Mbarouk (CUF) - kura 7497

Lushoto:
Shaban Shekilindi (CCM) - Kura 20,799
Gelmano Mbelwa (Chadema) - Kura 4086

Bumbuli:
JANUARY YUSUF MAKAMBA - Amepita bila kupingwa

Mlalo:
Rashid Abdallah Shangazi (CCM) - Kura 46,632
Amiri Shekiondo (CHADEMA) - Kura 2,803

Pangani:
JUMA HAMIDU AWESO - Amepita bila kupingwa

Kilindi:
Omar Kigua (CCM)

Mkinga:
Dastan Kitandula (CCM)

Handeni Mjini:
Reuben Kwagilwa (CCM) - Kura 15,241
Sonia Magogo(CUF) - Kura 6,713

Handeni Vijijini:
John Salu (CCM)

Muheza:
Hamis Mwinjuma | Mwana FA (CCM) - Kura 47,578
Yosepher Komba (CHADEMA) - Kura 12,038.

Korogwe Mjini:
Dkt. Alfred Kimea (CCM) - kura 16,969
Winijonce Clarence (Chadema) - Kura 2,116

Korogwe Vijijini:
Timotheo Mnzava (CCM) - Kura 48,078
Aminata Saguti (CHADEMA) - kura 12,092

ZINGATIA: Mikoa yote ina mada yake ya 'Update' ili kuweka wepesi katika ufuatiliaji.
 
Tanga bado mpo nyuma kifikra kama mnaendelea na ccm mtabaki kuongoza Tz kwa uchawi na sio maendeleo.
Wewe endelea na huyo mbwatukaji toka ubelgiji ili uendelee na Amsterdam hapo Dec 18 mtakapoondoka.
 
Cuf imewahi kuongoza majimbo mangapi tanga
Leo mambo ni kama hivi kila sehemu

JamiiForums-849997931.jpg
 
Muheza nasikia kuna mgombea kang'atwa na msimamizi wa uchaguzi wakati anamzuia kuingiza karatasi za kura ambazo zishapigwa
 
Tanga mjini karibu mawakala wrote was upinzani hawakupata barua, hivyo vituo vyote havikuwa na mawakala.
 
Jamani JF haipatikani kwenye desktop yangu, ni nini?
 
Mkinga vijana wamejitokeza sana kupiga kura hasa kata kubwa maramba.
 
Back
Top Bottom