Tanga Mjini Lodge/Guest house zimejaa hadi j4

Tanga Mjini Lodge/Guest house zimejaa hadi j4

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,477
Reaction score
40,278
Mwezi umeisha na mengi. Usije Tanga kama huna pa kulala. Malaya bei juu pia. Kondomu nazo adimu. Mwendo wa acapella. Abood za kutosha (mtu unaweza kuwahi alfajiri ukachuja saa 6 usiku unageuza na abood 2 Dar
 

Attachments

  • memes_campus05_3055779.jpg
    memes_campus05_3055779.jpg
    58.2 KB · Views: 23
Wameshaweka oda hadi za malaya, wanataka kumaliza genye la mwezi mzima 🤣

Hii ndo raha ya Uislamu, mwezi Ramadhan unaacha dhambi, baada ya hapo dhambi n ruksa 🔥
 
Wameshaweka oda hadi za malaya, wanataka kumaliza genye la mwezi mzima 🤣

Hii ndo raha ya Uislamu, mwezi Ramadhan unaacha dhambi, baada ya hapo dhambi n ruksa 🔥
UKIMALIZA kukojoa unajuta
 
Ndugu Tanga haikunjaa sababu ya Eid hapana ni sababu kulikuwa na maafali ya kidato cha sita St. Christina pale Kange.. hivyo watu wengi walikuja kwa ajili hiyo ukizingatia kamji kenyewe ndio hivyo. achilia mbali Abood iliyotoka Dar waje leo waondoka leo pia, vinginevyo TANGA raha tuu hina na samaki wa kupaka

NAWAKILISHA MKUU
 
Back
Top Bottom