Tanga Mjini ni pagumu sana aisee

Kwanza nikupe connection,
Kazi inayolipa sana sasa hivi ni "UCHAWA"
We jipele kwenye ofisi za ccm, anza kujipendekeza
waseme vibaya wapinzani (maana hawa ndio wana sababisha ukose kazi)
uwe mwepesi kuanzisha fujo za kupiga wapinzani
msifu mama kadri utakavyo weza
mpaka mwakani, sio mwenzetu tena.
Mapambano mema
 
Jaribu uganga mkuu
 
Na mimi aliponishangaza huyu mnama ni hapo kutoka moshi kwenda kutafuta maisha Tanga bora angebaki moshi au angelipa hata buku 3 asogee Arusha, maana wagosi wenyewe wametoka kwao wamekimbilia Arusha
 
Ujafika Shinyanga na lindi wewe!!
 
Kama comment yangu umeitafsiri hivyo ni sawa pia. Kwasabb ni maono yako kwa nilichoandika. Ila sina chuki na iyo race.
Acha chuki dogo kwa Tz hao wengi wao ndo wafanya biashara wakubwa
 
Hapana ugumu ukiwa na hivi vifurushi vya halotel bado vipo pataGB2 kwa 3000, Gb3 kwa 4000, GB5 kwa 5000 na Gb10 kwa10,000, Gb15 kwa 14,000 na Gb25 kwa 23000 na Gb30 kwa 26000 tu mwezi mzima.*0618370992
 
Mzee wa kazi ngumu,njoo pwani wilaya ya mkuranga Kuna viwanda kibao na kazi zipo .fila mbagala dsm stand ya mbagala rangi 3 panda gari za mkuranga nauli 1400 njiani tu Kuna viwanda anzia hapo ukikosa nyoosha mpaka mkiu Kuna viwanda vya tiles na vioo.ila hata hapo njiani kisemvule ,dundani mpaka mwanambaya Kuna viwanda
Kazi kwako usije sema waja tumekunyima koneksheni bure.
 
Nenda mkoa wa Pwani, Kibaha sanasana ni mkoa unaokuwa kwa kasi na una viwanda vingi sana vikubwa na vidogo. Tanga unapoteza muda.
Kibaha inakua? haya mbona ni maajabu ni wapi huko inapokulia mwanalugali? Loliondo? ama Kwa Mathias? hii Kibaha inayozidiwa hadhi hata na Kahama hahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha na mvua zimeanza dadeki wataita maji mma
 
Ungekaa lindi si ungekimbia 🤣🤣..
Muuloze ndege john akuambie pamepoa kama uji wa mgonjwa🤣🤣
 
Kibaha inakua? haya mbona ni maajabu ni wapi huko inapokulia mwanalugali? Loliondo? ama Kwa Mathias? hii Kibaha inayozidiwa hadhi hata na Kahama hahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha na mvua zimeanza dadeki wataita maji mma
Hapo picha ya ndege, mlandizi, visiga kuna viwanda kibao. Hong Yu Steel, Kiluwa, Jetutuhambi, radiant, lee, global packaging, rumi and daughters, tc industries, blueline, lodhia

Mimi kibaha naijua yote. Hapo nimekupa viwanda kadhaa tu ambao nimewafanyia kazi zao. Acha kelele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…