LUTULWITU
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 584
- 983
Kwanza nikupe connection,Nipo Tanga kama siku ya tano hivi nikitokea Moshi, aisee Jiji limepoa kishenzi kama Singida yani sijaona ujenzi mkubwa unaoendelea hapa hata wagorofa tatu, na kwenye viwanda tulimopita kuomba kazi na msela wangu napo kazi hamna. Sijui watu wa hili jiji wanaishije hata hivyo Kwakua Sina nauli ngoja niendelee kupambana labda nitapa kazi
NB: NILIKUWA TANGA KWAAJILI YA KUTAFUTA KAZI NGUMU ZA UJENZI NA VIWANDANI KAMA KAWAIDA YANGU KAMA KUNA MTU MWENYE CONNECTION ANIPE.
Kazi inayolipa sana sasa hivi ni "UCHAWA"
We jipele kwenye ofisi za ccm, anza kujipendekeza
waseme vibaya wapinzani (maana hawa ndio wana sababisha ukose kazi)
uwe mwepesi kuanzisha fujo za kupiga wapinzani
msifu mama kadri utakavyo weza
mpaka mwakani, sio mwenzetu tena.
Mapambano mema