Tanga: Mume atuhumiwa kumuua mkewe, dada wa kazi kwa kuwanyonga na kuwatoboa macho

Hujielewi wewe jitu linamiaka 60 unasema wanaume wa Sasa hivi hivi kwanini nyie wazee mnajifanya mlifanya ya maana wakati nchi ni masikini mpaka wewe mzee ni masikini wa kutupwa
 
Watu mnaosema ndoa ndio imesababisha,mkae mkijuwa mauaji yanafanyika kila sekta haijalishi watuhumiwa walikuwa katika ndoa ama vipi,mauji ni mauaji tu,kwa hiyo wale watu manofikia maamuzi ya jumla jumla kwamba chanzo no ndoa,hamna hoja inayoshawishi umma uwaelewe vizuri maana mauaji yanafanyika kila mahali na siyo kwenye ndoa tu.
 
Siku nikigundua watoto wangu ni copy ya mwanaume mwingine ntanyonga mpaka mjumbe wa nyumba kumi ukija kusuluhisha ugomvi...uenda beki tatu alijifanya kuamulia akasukumwa akafa.....

Ukisikia wanandoa wanapigana acha kuingilia wew subiri asubuhi muone nan mshindi kama kuna maiti nendeni mkazitoe sio ukisikia fujo unapeleka pua yako mtakuja kufa one day iyo ni vita ya kiroho hapo shetan huchukua point tatu na kuwapa kataa ndoa.....
 
 

Attachments

  • IMG-20241001-WA0015.jpg
    415.1 KB · Views: 5
Wazeee wa hovyo wanywa kahawa wakiwa kijiweni wanajazana ujinga
Punguzeni mdomo, wanaume wenye uthubutu wa kumpuuza mwanamke na kwenda kula tungi lako bar tuko wachache.

Nimeshashuudia kwa macho mke anamtukana matusi ya nguoni mume wake bila aibu, halafu mwingine anasema hawa watoto siyo wako na kila aina ya kashfa wakati watoto kiuhalisia huyo ndio biological father lakini mwanamke anamprovoke mwanaume makusudi kabisa.
 
Kila mtu anasingizia shetani especially wabongo. Tukiacha kutumia akili na busara ndio hayo yanatokea
 
Bila mdomo nyumba haichangamki...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…