Mkweche II
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 4,160
- 5,793
Mtu anaitwa bagidadi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Assume mkewe alimuulia chumbani wanamolala house girl labda sebuleni au popote ndani ya nyumba so ktk mazingira kama haya haikuwa rahisi mmoja wao kujua.Nachojiuliza anakamata huyu anamfunga kamba huyu mwingine ametizama tu bila kupiga kelele kwa majirani .!!!
Basi walikuwa kuku wa kizungu
Hujielewi wewe jitu linamiaka 60 unasema wanaume wa Sasa hivi hivi kwanini nyie wazee mnajifanya mlifanya ya maana wakati nchi ni masikini mpaka wewe mzee ni masikini wa kutupwaWanaume wa siku hizi wana hasira za kike sana. Wanaume wa miaka hiyo walikuwa wanacheza na principles za kiume tu sio hisia.
Mwanaume anayefanya maamuzi kwa principles za kiume ikitokea mke kamtibua atampa warning,akikaidi anafanya maamuzi ya kiume.
Mke anakutibua unabeba kibegi chako,unahama nyumbani muache akae na kiburi chake. Kuendelea kufosi kukaa na mwanamke mkorofi au asiyejielewa kwa mwanaume ni kujiandalia mkeka wa matatizo.
Sasa kama hapa huyu mzee kuua chanzo chake ni kipi, why asingesepa mapema tu kabla hasira hazijamvaa.
Mzee mzima huyo. Muda wa kucheza na wajukuu yeye yuko busy kukumbizana na wanawakeHujielewi wewe jitu linamiaka 60 unasema wanaume wa Sasa hivi
Huyo jamaa anasema ni WA Sasa sio wa zamaniMzee mzima huyo. Muda wa kucheza na wajukuu yeye yuko busy kukumbizana na wanawake
Kweli wahuni nao huzeeka.
Kazi kwelikwelibinti kamkosea nini, vyema angemrusha kwao
mke kamuua wa nini vyema angemrudisha kwao nae ama angemwachia nyumba na kutokomea kama alivyo kimbia hivi
KhaaKisiri Siri kila mtu ni muuaji.
Kamata hisia zako zisizidi kimo Cha Kutafakali na Maamuzi.Khaa
kweli jamaa!!Kataa ndoa wakuu.
Jamaa asingeoa hayo yasinge tokea
Asingeoa angeolewa mkuuKataa ndoa wakuu.
Jamaa asingeoa hayo yasinge tokea
Polisi Mkoa wa Tanga linamtafuta Alii Bagidai (60), mkazi wa Barabara ya 4, Wilaya na Jiji la Tanga kwa tuhuma za kumuua mkewe Saira Mohammed (50) na binti wa kazi anayejulikana kwa jina moja Asha (20) kwa kuwanyonga na kamba ya katani shingoni, kisha kuwatoboa macho.
Taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa huo, Almachius Mchunguzi jana Jumatatu Septemba 30, 2024 imeeleza tukio hilo limetokea jana saa 1:00 usiku na baada ya mtuhumiwa kufanya kitendo hicho alitoroka.
Kamanda Mchunguzi ametoa wito kwa wananchi kushirikiana na Jeshi la Polisi kwa kutoa taarifa mahali atakapooneka mtuhumiwa huyo, ili akamatwa na sheria ichukue mkondo wake.
Soma Pia: Tanga: Watu watatu wafariki dunia kwa kuchomwa moto ndani ya gari Handeni
Mwenyekiti wa serikali ya mtaa, Lumumba Shemdoe amesema bado hawafahamu chanzo cha tukio, ila waliokutwa na tukio hilo wote ni wananchi wa mtaa wake.
Soma pia:
=> Tanga: Watu watatu wafariki dunia kwa kuchomwa moto ndani ya gari Handeni
Punguzeni mdomo, wanaume wenye uthubutu wa kumpuuza mwanamke na kwenda kula tungi lako bar tuko wachache.Wazeee wa hovyo wanywa kahawa wakiwa kijiweni wanajazana ujinga
Kila mtu anasingizia shetani especially wabongo. Tukiacha kutumia akili na busara ndio hayo yanatokeaSiku nikigundua watoto wangu ni copy ya mwanaume mwingine ntanyonga mpaka mjumbe wa nyumba kumi ukija kusuluhisha ugomvi...uenda beki tatu alijifanya kuamulia akasukumwa akafa.....
Ukisikia wanandoa wanapigana acha kuingilia wew subiri asubuhi muone nan mshindi kama kuna maiti nendeni mkazitoe sio ukisikia fujo unapeleka pua yako mtakuja kufa one day iyo ni vita ya kiroho hapo shetan huchukua point tatu na kuwapa kataa ndoa.....
Bila mdomo nyumba haichangamki...Punguzeni mdomo, wanaume wenye uthubutu wa kumpuuza mwanamke na kwenda kula tungi lako bar tuko wachache.
Nimeshashuudia kwa macho mke anamtukana matusi ya nguoni mume wake bila aibu, halafu mwingine anasema hawa watoto siyo wako na kila aina ya kashfa wakati watoto kiuhalisia huyo ndio biological father lakini mwanamke anamprovoke mwanaume makusudi kabisa.