instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,037
- 17,212
AmenAllah akuepushe na machukizo ya dunia hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AmenAllah akuepushe na machukizo ya dunia hii
GaidiPolisi Mkoa wa Tanga linamtafuta Alii Bagidai (60), mkazi wa Barabara ya 4, Wilaya na Jiji la Tanga kwa tuhuma za kumuua mkewe Saira Mohammed (50) na binti wa kazi anayejulikana kwa jina moja Asha (20) kwa kuwanyonga na kamba ya katani shingoni, kisha kuwatoboa macho.
Taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa huo, Almachius Mchunguzi jana Jumatatu Septemba 30, 2024 imeeleza tukio hilo limetokea jana saa 1:00 usiku na baada ya mtuhumiwa kufanya kitendo hicho alitoroka.
Kamanda Mchunguzi ametoa wito kwa wananchi kushirikiana na Jeshi la Polisi kwa kutoa taarifa mahali atakapooneka mtuhumiwa huyo, ili akamatwa na sheria ichukue mkondo wake.
Soma Pia: Tanga: Watu watatu wafariki dunia kwa kuchomwa moto ndani ya gari Handeni
Mwenyekiti wa serikali ya mtaa, Lumumba Shemdoe amesema bado hawafahamu chanzo cha tukio, ila waliokutwa na tukio hilo wote ni wananchi wa mtaa wake.
Soma pia:
=> Tanga: Watu watatu wafariki dunia kwa kuchomwa moto ndani ya gari Handeni
Mental case is really!Bila mdomo nyumba haichangamki...
Tuliza wenge mzee baba...usije vurugika kw maneno ya JFMental case is really!
Ya korogwe hayatulia limeibuka lingine huko tangaPolisi Mkoa wa Tanga linamtafuta Alii Bagidai (60), mkazi wa Barabara ya 4, Wilaya na Jiji la Tanga kwa tuhuma za kumuua mkewe Saira Mohammed (50) na binti wa kazi anayejulikana kwa jina moja Asha (20) kwa kuwanyonga na kamba ya katani shingoni, kisha kuwatoboa macho.🥺🥺🥺
Una uhakika kama walitenda yanayompendeza Mungu ktk uhai wao?Marehemu wapumzike kwa Amani.
Nitakuwa Chizi kuvurugwa na Maghost.Tuliza wenge mzee baba...usije vurugika kw maneno ya JF
hahahàaaaWazeee wa hovyo wanywa kahawa wakiwa kijiweni wanajazana ujinga
Kuna kesi kibao za mauaji na wahusika si wanandoa.Kataa ndoa wakuu.
Jamaa asingeoa hayo yasinge tokea
Njombe na Geita wamepumzika Sasa.Polisi Mkoa wa Tanga linamtafuta Alii Bagidai (60), mkazi wa Barabara ya 4, Wilaya na Jiji la Tanga kwa tuhuma za kumuua mkewe Saira Mohammed (50) na binti wa kazi anayejulikana kwa jina moja Asha (20) kwa kuwanyonga na kamba ya katani shingoni, kisha kuwatoboa macho.
Taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa huo, Almachius Mchunguzi jana Jumatatu Septemba 30, 2024 imeeleza tukio hilo limetokea jana saa 1:00 usiku na baada ya mtuhumiwa kufanya kitendo hicho alitoroka.
Kamanda Mchunguzi ametoa wito kwa wananchi kushirikiana na Jeshi la Polisi kwa kutoa taarifa mahali atakapooneka mtuhumiwa huyo, ili akamatwa na sheria ichukue mkondo wake.
Soma Pia: Tanga: Watu watatu wafariki dunia kwa kuchomwa moto ndani ya gari Handeni
Mwenyekiti wa serikali ya mtaa, Lumumba Shemdoe amesema bado hawafahamu chanzo cha tukio, ila waliokutwa na tukio hilo wote ni wananchi wa mtaa wake.
Soma pia:
=> Tanga: Watu watatu wafariki dunia kwa kuchomwa moto ndani ya gari Handeni
Stori za vijiwenjHivi Huwa Kuna ukweli kuhusu macho kuhifadhi kumbukumbu ya tukio?Au ni Mila potofu tu imejengeka Kwa jamii?huyo mzee amejipa matatizo ya uzeeni Kwa kujitakia
Mtu mwenyewe anaitwa "bagidadi"??? Kuna nini hapo zaidi ya kuwa "gaidi". Jina la mtu na "avatar" za members hapa jamii forum zinamtambulisha mtu ni nani? Huna haja ya kuuliza!Mtu anaitwa bagidadi
msenge sana mzee kamuua mtoto wa watu kwa maugomvi yasiyomhusu. zee likikamatwa waniletee nimpe adhabu za kimochwari tunazowapa maiti wasumbufu.Huyo jamaa angeua familia yake tu Sasa anaau Binti wa kazi anamhusu Nini siajabu alikuwa anategemewa na wazazi wake
SI kwa miaka 60 hapo Kuna pepo!MAPENZI NI NOMA
Inawezekana huyo bekitatu alishuhudia tukio la kwanza ndicho kilichomponza.Vijana sijui mmepeleka wapi fahamu zenu!
Unaposema kataa ndoa hapo ameuawa na mfanyakazi wa ndani kwa hiyo unataka kusema nae alikuwa mkewe wote wakamkera akawaua.
Binti kauwawa kama collateral damage tumsenge sana mzee kamuua mtoto wa watu kwa maugomvi yasiyomhusu. zee likikamatwa waniletee nimpe adhabu za kimochwari tunazowapa maiti wasumbufu.