Tanga: Mume atuhumiwa kumuua mkewe, dada wa kazi kwa kuwanyonga na kuwatoboa macho

Polisi Mkoa wa Tanga linamtafuta Alii Bagidai (60), mkazi wa Barabara ya 4, Wilaya na Jiji la Tanga kwa tuhuma za kumuua mkewe Saira Mohammed (50) na binti wa kazi anayejulikana kwa jina moja Asha (20) kwa kuwanyonga na kamba ya katani shingoni, kisha kuwatoboa macho.
Taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa huo, Almachius Mchunguzi jana Jumatatu Septemba 30, 2024 imeeleza tukio hilo limetokea jana saa 1:00 usiku na baada ya mtuhumiwa kufanya kitendo hicho alitoroka.

Kamanda Mchunguzi ametoa wito kwa wananchi kushirikiana na Jeshi la Polisi kwa kutoa taarifa mahali atakapooneka mtuhumiwa huyo, ili akamatwa na sheria ichukue mkondo wake.

Soma Pia: Tanga: Watu watatu wafariki dunia kwa kuchomwa moto ndani ya gari Handeni

Mwenyekiti wa serikali ya mtaa, Lumumba Shemdoe amesema bado hawafahamu chanzo cha tukio, ila waliokutwa na tukio hilo wote ni wananchi wa mtaa wake.

Soma pia:
=>
Tanga: Watu watatu wafariki dunia kwa kuchomwa moto ndani ya gari Handeni
Gaidi
 
Polisi Mkoa wa Tanga linamtafuta Alii Bagidai (60), mkazi wa Barabara ya 4, Wilaya na Jiji la Tanga kwa tuhuma za kumuua mkewe Saira Mohammed (50) na binti wa kazi anayejulikana kwa jina moja Asha (20) kwa kuwanyonga na kamba ya katani shingoni, kisha kuwatoboa macho.🥺🥺🥺
Ya korogwe hayatulia limeibuka lingine huko tanga

Ova
 
Polisi Mkoa wa Tanga linamtafuta Alii Bagidai (60), mkazi wa Barabara ya 4, Wilaya na Jiji la Tanga kwa tuhuma za kumuua mkewe Saira Mohammed (50) na binti wa kazi anayejulikana kwa jina moja Asha (20) kwa kuwanyonga na kamba ya katani shingoni, kisha kuwatoboa macho.
Taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa huo, Almachius Mchunguzi jana Jumatatu Septemba 30, 2024 imeeleza tukio hilo limetokea jana saa 1:00 usiku na baada ya mtuhumiwa kufanya kitendo hicho alitoroka.

Kamanda Mchunguzi ametoa wito kwa wananchi kushirikiana na Jeshi la Polisi kwa kutoa taarifa mahali atakapooneka mtuhumiwa huyo, ili akamatwa na sheria ichukue mkondo wake.

Soma Pia: Tanga: Watu watatu wafariki dunia kwa kuchomwa moto ndani ya gari Handeni

Mwenyekiti wa serikali ya mtaa, Lumumba Shemdoe amesema bado hawafahamu chanzo cha tukio, ila waliokutwa na tukio hilo wote ni wananchi wa mtaa wake.

Soma pia:
=>
Tanga: Watu watatu wafariki dunia kwa kuchomwa moto ndani ya gari Handeni
Njombe na Geita wamepumzika Sasa.
 
Polisi Mkoa wa Tanga linamtafuta Alii Bagidai (60), mkazi wa Barabara ya 4, Wilaya na Jiji la Tanga kwa tuhuma za kumuua mkewe Saira Mohammed (50) na binti wa kazi anayejulikana kwa jina moja Asha (20) kwa kuwanyonga na kamba ya katani shingoni, kisha kuwatoboa macho.

Taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa huo, Almachius Mchunguzi jana Jumatatu Septemba 30, 2024 imeeleza tukio hilo limetokea jana saa 1:00 usiku na baada ya mtuhumiwa kufanya kitendo hicho alitoroka.

Kamanda Mchunguzi ametoa wito kwa wananchi kushirikiana na Jeshi la Polisi kwa kutoa taarifa mahali atakapooneka mtuhumiwa huyo, ili akamatwa na sheria ichukue mkondo wake.

Aidha, amewaasa wananchi kuacha kujichukulia sheria mkononi, kwani kufanya hivyo ni kinyume na sheria za nchi.

Mwenyekiti wa serikali ya mtaa, Lumumba Allen Shemdoe amesema bado hawafahamu chanzo cha tukio, ila waliokutwa na tukio hilo wote ni wananchi wa mtaa wake.

"Tulipofika eneo la tukio baada ya kuchungulia tukaona mwanamke amelala chini akiwa na kamba shingoni, ila tulipochungulia mbele tukaona mfanyakazi wa kike naye anakamba shingoni, polisi wakaja tukavunja mlango tukakuta wote wamefariki," amesema Mwenyekiti Shemdoe.
 
Labda wameuwawa na aliyewau kamteka huyo Mzee kasepa naye.

Life background ya Mtuhumiwa itafutwe, inawezekana pia wauaji wamemteka kupoteza ushahidi.

Nyumba ni mali ya nani?, je hilo eneo ni potential? ana deni mahala marehemu na nyumba ni collateral?, Kuna wateja waliowahi kutaka hiyo nyumba au mali yeyote ya mtuhumiwa na mtuhumiwa akagoma kuuza?
Investigation ya uhakika inahitajika sana kupata majibu.

Huyo ambaye tunasema ndio mtuhumiwa aka muuaji kwanini awatoboe macho, alikuwa anaficha nini kama alipanga kutoweka.
Kuna jambo nyuma ya pazia wenye kazi yenu nimewapa tips mjaribu kwenda deep down.
 
Back
Top Bottom