Tanga: Mume atuhumiwa kumuua mkewe, dada wa kazi kwa kuwanyonga na kuwatoboa macho

Tanga: Mume atuhumiwa kumuua mkewe, dada wa kazi kwa kuwanyonga na kuwatoboa macho

Habari za nuda huu ni:

Mwili wa Ali Baghdad wapatikana Sahare. Kutoka baharini. Haijathibitishwa ikiwa alijiua au aliuawa. Alidaiwa pesa na watu wengi. Angeweza pia kuuawa.

Nawashangaa wakosa sera hawajasema huyu nae alitekwa.
Kuna mdau,humu alicmnt "inawezekana pia ametekwa" dada yangu kipenzi

Ova
 
Itakuwa labda hayo mambo ya madeni na tabia za mke kumpa jakamoyo.

Maana wanaume wa Pwani sio rahisi kumdhuru mwanamke Eti sababu ya wivu wa mapenzi huwa sio rahisi.
Labda itokee kwa nadra Iła naona sio rahisi
Siyo "mwanaume wa pwani", sema Waislam siyo rahisi kuuwa.

Waislam tuna talaka na khuluu. Tunaiuwa ndoa siyo mtu.

Uislam mwema sana.
 
Siyo "mwanaume wa pwani", sema Waislam siyo rahisi kuuwa.

Waislam tuna talaka na khuluu. Tunaiuwa ndoa siyo mtu.

Uislam mwema sana.

Kumbeee?!
Inawezekana ni kweli usemacho aisee.

Lakini dhambi unayowatawala kwa sana ni uchawi na ushirikina na ambayo ni dhambi mbaya huenda kuliko zote maana inaua, itatia magonjwa, mifaraka, kuharibu kazi n.k

Na nasikia Eti dhambi hii imeasisiwa na asili ya Maandiko ya vitabu vyenu vya dini.
Nampenda alihemu mzee Mwenye alikuwa noweli na fair sana kwenye dini yenu kila mara alikuwa akielezea.
Mwenyezi Mungu ailaze roho yake Mahala pema peponi.
 
Punguzeni mdomo, wanaume wenye uthubutu wa kumpuuza mwanamke na kwenda kula tungi lako bar tuko wachache.

Nimeshashuudia kwa macho mke anamtukana matusi ya nguoni mume wake bila aibu, halafu mwingine anasema hawa watoto siyo wako na kila aina ya kashfa wakati watoto kiuhalisia huyo ndio biological father lakini mwanamke anamprovoke mwanaume makusudi kabisa.
Ni kwel mkuu Dr Matola PhD , kuwa na uwezo wa kumpuuza mwanamke ni kitu muhimu sana.
 
Habari za nuda huu ni:

Mwili wa Ali Baghdad wapatikana Sahare. Kutoka baharini. Haijathibitishwa ikiwa alijiua au aliuawa. Alidaiwa pesa na watu wengi. Angeweza pia kuuawa.

Nawashangaa wakosa sera hawajasema huyu nae alitekwa.
Duh, kaacha kitendawili kigumu huku iraiani kwani itakuwa ngumu kumjuwa aliyeko nyuma ya mauaji ya wao wote. Mungu ampumzishe panapo mstahili.
 
Back
Top Bottom