njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
Nilishawahi kusema hapa fatilia sana watu wenye aka aka mitaani mara nyingi wanakua sio watu wazuri kabisa hebu fikiria mtu anaitwa nabii mwitu hapo kuna nini sasa au nabii kokoMtu anaitwa bagidadi