Tanga: Mwanafunzi wa Darasa la 5 adaiwa kujinyonga. Ndugu wadai kuna kitu nyuma ya pazia kinafichwa na Shule na Polisi

Kuna haja ya kuweka sheria itakayoruhusu upelelezi binafsi (private investigation) maana mazingira kama haya yenye utata namna hii na the way polisi wamelalamikiwa kama wameegemea upande wa shule.

Imagine police ndio anapeleleza na anatoa report na ndio final hii sio sawa kuna mazingira police report hairidhishi hapo ndipo private investigation huwa na umuhimu wake maana ni independent investigation.

All in all mlikosea kukubali kuzika kabla ya kulazimisha postmortem na kosa kubwa mkaamua kulazimisha kuosha mwili hapo huwezi kufanya autopsy.
 
Hiyo shule yakutia moto watoto wakiwa likizo famba saana hao watu. Hapo kuna kitu hakiko sawa mtoto kazimwa huyo au makafara yao hayo.
 
F☆<k the police
 
Jambo linatugusa Sana, lakini pia wanafamilia wamekosea. Kwanini waliomba kuosha mwili wakati walipewa chaguo la kuzika au kufungua file??tayar hapo wamewapa fursa ya kujitenga na jambo hilo.
Maiti iliyozikwa inaweza kufukuliwa na kufanyiwa uchunguzi, hilo ni jambo la kawaida endapo ndugu watadai hivyo kupitia Polisi.
 
Mgelisusia maiti mpaka daktari wenu awepo amchunguze
 
Hahaha....aseehh...huyo mwalimu asithubutu Kwa Binti Yangu aseehh....
Ama zake a.a zangu
Hizi Shule hizi ACHA tuuu
 
Kwa asilimia kubwa kabisa ameuawa huyo. Kwanza mtoto wa 11 ana mawazo gani mpaka ajinyonge? Huyo alipigwa na mwalimu akafa halafu wakatunga. Ila hii nchi wananchi wake sijui wamepuliziwa nini. Tukio kama hilo polisi anawezaje kuwalazimisha? Kwa nini wasiji-organize walete vurugu kubwa kabisa? Halafu kwa nini wakimbilie kuosha mwili wakati mambo mengine bado? (siungi mkono kuwa mwili ukishaoshwa huwezi kufanyiwa post mortem kama hao vilaza walivyosema) And finally.... walikuwa wanalala bweni? Kwa nini wazazi wengine wana mawazo mgando namna hii? Mtoto mdogo namna hiyo kwa nini aende shule ya bweni? Tanzania ina matatizo makubwa ya uongozi. Ila wananchi nao ni tatizo kubwa zaidi.
 
Mtoto wa miaka 11 ajinyonge kisa?Acheni kufanya mizaha na watoto wa watu wajinga wakubwa.Kwanza washukuru sana hawa wazazi ni wastaarabu wengine hawaendi polisi ila hamna rangi hamtaona yaani kila aliyehusika atamfata marehemu alipo
 
Ila Wazazi wa sasa ni vilaza saaaanaaa
Mtoto wa miaka 11 boarding anaenda kufanya nini ?
Kwa nini watu tunakazania kuzaa ikiwa majukumu ya ulezi hatuyawezi
Halafu kuna jamii yetu iliyooza Kwa rushwa
Police akishikishwa pesa kidogo ,hajali chochote kupindisha Sheria
 
Hiyo familia tuwape polee...ila naweza sema umaskini + ujinga ndo umepelekea polisi kuwakandamiza.

Ila hii kesi nzito sanaa
 
🥹
 

yaani mtu anapambana na tabia mbaya iliyopo ndani ya mtu mpaka anamuumiza mhusika.

ukiuliza ulazima wa hayo yote ni nini hata yeye hajui.

ukishaona mtoto mwoga kupita kiasi kwenye fimbo ni bora umwache,anaweza hata akaanguka akafa kwa pressure.
 
Ukweli utakuja juu tu.

It's a matter of time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…