Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 8,967
- 8,547
Haihusiani kabisa na Local governments. Hata hivyo hoja yake ya right to be heard ilishindwa.Ebu soma hiyo kesi uone Adv. Chamani anavyosema
Kifungu gani? Maana ni lazima ardhi yeyote iliyokuwa kijijini iuzwe kwa kupitia baraza la kijiji.By the way, it seems haya mambo ya shria unauelewa nayo. Ngoja nikuletee kifungu unipe tafsiri yake. Kuna appeal inakwenda CA kuomba tafsiri maana wanasema kuna mkanganyiko wa interpretation.
Ardhi ambayo ipo serikali ya mtaa ni deemed right of occupancy inayofuata Law of Contract. Kwa sababu serikali ya mtaa haina mamlaka juu ya ardhi. Ila baadae utakapotaka kiregister, itabidi uombe consent ya Ward Development Council. Hiyo ndiyo itakayokupitishia ili ufanye survey na baada ya hapo itakuwa chini ya commissioner for lands.
Ardhi zilizokuwa surveyed zipo chini ya commissioner for lands, through municipalities or distrct/town councils. na uuzaji wake upo chini ya law of contract act na Land act. Meaning, zitakuwa na muhuri wa wakili, magistrate, TRA officer au any commissioner for Oaths.