Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 8,967
- 8,547
Naona mishipa ya shingo imekutoka.Watu wanauza mpaka mapagala ya watu ndio washindwe kuuza kiwanja chenye trip za mawe.
Matapeli wakishajua una kiwanja sehemu halafu wewe labda upo mkoa tofauti, Hilo eneo watakuwa wanawauzia watu kila siku.
Kuna watu wanauzuiwa maiji na mafuta ya upako, tena wana PhD.
Ila mimi siwezi kuuziwa kitu chochote kijinga.