Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga, Husna Sekiboko amewataka Wanakilindi na Wanatanga kwa ujumla kujitokeza kwa wingi kumpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan, anayetarajia kuanza ziara mkoani hapa tarehe 23 Februari, 2025.
Akizungumza katika ziara yake aliyoifanya wilayani Kilindi na maeneo mengine, alisema kuwa ikiwa wananchi watajitokeza kwa wingi, itakuwa ni njia mojawapo ya kupata suluhu ya matatizo na changamoto zao