Tanga tumepata mvua. Huko kwingine vipi?

Tanga tumepata mvua. Huko kwingine vipi?

Tanga: Ukame ulikuwa unatishia maisha ya watu namifugo. Sasa hivi at 8. 30 inanyesha mvua kubwa ya kutosha kwa leo. Radi, ngurumo kama kawa. Hatujui kma itaendelea au ndiyo inachombeza tu.

Huko kwenu vipi?
Nilienda TA desemba mbona njia nzima ilikuwa inanyesha mvua? Unazungumzia tanga ipi?
 
Nimetoka Mbezi Mwisho kupitia Kimara-Mawasiliano-Mwenge kote kuna mvua kubwa ilikuwa inanyesha.

Ila Madale, Bunju, Tegeta, Wazo ni pakavu ila wingu limetanda na upepo hamna
Dar ya ajabu sana. Unaweza kumwambia mtu nitachelewa kufika sababu ya mvua akahisi unamdanganya. Leo mimi nimetoka kununua maji licha ya wingu kutanda hadi kuwa giza.
 
Nilienda TA desemba mbona njia nzima ilikuwa inanyesha mvua? Unazungumzia tanga ipi?
vilinyesha vimvua vidogo ambavyo havikuwa na maana yoyote kAtka kilimo....
 
Tanga: Ukame ulikuwa unatishia maisha ya watu namifugo. Sasa hivi at 8. 30 inanyesha mvua kubwa ya kutosha kwa leo. Radi, ngurumo kama kawa. Hatujui kma itaendelea au ndiyo inachombeza tu.

Huko kwenu vipi?
Naona imekata mkuu ila jion imengia hali ya hewa ya joto imepotea
 
Back
Top Bottom