Tanga: Wanawake walalamika kunyonywa maziwa na wanaume, watoto hawashibi

Tanga: Wanawake walalamika kunyonywa maziwa na wanaume, watoto hawashibi

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2021
Posts
577
Reaction score
2,595
Wanaume wametajwa kuwa kikwazo kikubwa kwa wanawake wanaonyonyesha kwa kutokutoa muda wa kupumzika vizuri pamoja na kusababisha stress zinazofanya washindwe kuzalisha maziwa ya kutosha kunyonyesha watoto.

Wanawake wilayani Handeni mkoani Tanga wametoa malalamiko hayo mbele ya mkuu wao wa wilaya Mhe. Siriel Mchembe ambao pamoja na madai hayo, wamedai kuwa baadhi ya wanaume hao huenda mbali zaidi kwa kunyonya maziwa yao hasa wakati wa usiku.

DC Mchembe amekemea tabia hii ya wanaume na kuwaomba waache mara moja pamoja na kuwasihi wawapatie muda wa kupumzika wanawake ili watengeneze chakula cha kutoshea mahitaji ya watoto.

Chanzo: Clouds TV
 
woman-holding-a-huge-cup-of-coffee-illustration-id165517310-7.jpg
Wanywe chaiiiii
 
Wanaume wametajwa kuwa kikwazo kikubwa kwa wanawake wanaonyonyesha kwa kutokutoa muda wa kupumzika vizuri pamoja na kusababisha stress zinazofanya washindwe kuzalisha maziwa ya kutosha kunyonyesha watoto.

Wanawake wilayani Handeni mkoani Tanga wametoa malalamiko hayo mbele ya mkuu wao wa wilaya Mhe. Siriel Mchembe ambao pamoja na madai hayo, wamedai kuwa baadhi ya wanaume hao huenda mbali zaidi kwa kunyonya maziwa yao hasa wakati wa usiku.

DC Mchembe amekemea tabia hii ya wanaume na kuwasihi waache mara moja pamoja na kuwaomba kuwapatia muda wa kupumzika wanawake ili watengeneze chakula cha kutosha cha watoto.

Chanzo: Clouds TV
 
Huu upuuzi umezidi,Kwahio Mkuu wa wilaya ndio atamaliza tatizo kwa kauli ya kupiga marufuku? hawana watu wakubwa huko kwenye ukoo kupeleka malalamiko yao?

Hiki Cheo cha Ukuu wa Wilaya kifutwe tu,hawana kazi za kufanya zaidi ya kuongeza gharama kwa wananchi tu
 
Nilisema mahaka fulani kuwa wasaidizi wa Rais hawafanyi kazi bali kutoa matamko kihemko
 
Wanaume wametajwa kuwa kikwazo kikubwa kwa wanawake wanaonyonyesha kwa kutokutoa muda wa kupumzika vizuri pamoja na kusababisha stress zinazofanya washindwe kuzalisha maziwa ya kutosha kunyonyesha watoto.
Aisee raha sana kunyonyeshwa ukiwa mtu mzima....kwa kweli nawaelewa sana hao wanaume wa tanga.
 
Nasikia yana vitamini muhimu sn kwa wanaume hayo maziwa
Huo ni ujinga wa wanawake hao Kwanza wanatia aibu wanawake wengine. Hao wanawake Wana yao ya kuwanyonyesha wanaume. Saa zingine hao wa Tanga waache huo ujinga. Kwani unapomyonyesha mwanaume ni unabakwa au ni hiari Yako.
 
Mambo ya kipuuzi puuzi tuu sasa na hilo serikali ilishughulikie?
 
Me sipendagi hayo maziwa ya mtoto kwanza yana rangi flan ya njano unaweza kudhani NI machafu.
 
Back
Top Bottom