KwetuKwanza
Member
- Mar 13, 2023
- 82
- 150
Mimi ni Mkazi wa Mkoa wa Tanga, Wilaya Kilindi, Kijiji cha Kikunde naona huku wazee wanapata shida sana.
Wale wazee ambao hawajiwezi wanaopokea pesa za TASAF wamegeuzwa makatapila huku wanatengeneza barabara za mitaa sio mchezo.
Najiuliza kama Serikali inataka kutuulia wazee wetu waseme au ni viongozi wanahujumu Serikali basi waje waweke mambo sawa maana wanafanyishwa kazi alfajiri.
Ukiamka asubuhi unakuta barabara imenyooka utafikiri mkandarasi kanyoosha.....au Serikali imetoa fedha za barabara za mitaa huku viongozi madiwani wamekula?