KwetuKwanza
Member
- Mar 13, 2023
- 82
- 150
Hata huku nilipo wanawafanyisha hizo kazi za kulima barabaraMimi ni Mkazi wa Mkoa wa Tanga, Wilaya Kilindi, Kijiji cha Kikunde naona huku wazee wanapata shida sana.
Wale wazee ambao hawajiwezi wanaopokea pesa za TASAF wamegeuzwa makatapila huku wanatengeneza barabara za mitaa sio mchezo.
Najiuliza kama Serikali inataka kutuulia wazee wetu waseme au ni viongozi wanahujumu Serikali basi waje waweke mambo sawa maana wanafanyishwa kazi alfajiri.
Ukiamka asubuhi unakuta barabara imenyooka utafikiri mkandarasi kanyoosha.....au Serikali imetoa fedha za barabara za mitaa huku viongozi madiwani wamekula?
Nadhani walikuwa na lengo Jema kuleta maendeleo yao wenyewe .....sio kupewa bure kabisa issue wengine wazee sana....hapo ndio contradictionsMimi ni Mkazi wa Mkoa wa Tanga, Wilaya Kilindi, Kijiji cha Kikunde naona huku wazee wanapata shida sana.
Wale wazee ambao hawajiwezi wanaopokea pesa za TASAF wamegeuzwa makatapila huku wanatengeneza barabara za mitaa sio mchezo.
Najiuliza kama Serikali inataka kutuulia wazee wetu waseme au ni viongozi wanahujumu Serikali basi waje waweke mambo sawa maana wanafanyishwa kazi alfajiri.
Ukiamka asubuhi unakuta barabara imenyooka utafikiri mkandarasi kanyoosha.....au Serikali imetoa fedha za barabara za mitaa huku viongozi madiwani wamekula?
Lete picha tuwaone hao wazee unaosema wametumikishwa, kapicha itapendeza sanaMimi ni Mkazi wa Mkoa wa Tanga, Wilaya Kilindi, Kijiji cha Kikunde naona huku wazee wanapata shida sana.
Wale wazee ambao hawajiwezi wanaopokea pesa za TASAF wamegeuzwa makatapila huku wanatengeneza barabara za mitaa sio mchezo.
Najiuliza kama Serikali inataka kutuulia wazee wetu waseme au ni viongozi wanahujumu Serikali basi waje waweke mambo sawa maana wanafanyishwa kazi alfajiri.
Ukiamka asubuhi unakuta barabara imenyooka utafikiri mkandarasi kanyoosha.....au Serikali imetoa fedha za barabara za mitaa huku viongozi madiwani wamekula?
Lete picha tuwaone hao wazee unaosema wametumikishwa, kapicha itapendeza sana
Watu wakilindi wazigua na wanguo ukitaka kugbana nao wambie wamchague mtu wa chama pinzani mbona watakuloga,hacha wakomeshweMimi ni Mkazi wa Mkoa wa Tanga, Wilaya Kilindi, Kijiji cha Kikunde naona huku wazee wanapata shida sana.
Wale wazee ambao hawajiwezi wanaopokea pesa za TASAF wamegeuzwa makatapila huku wanatengeneza barabara za mitaa sio mchezo.
Najiuliza kama Serikali inataka kutuulia wazee wetu waseme au ni viongozi wanahujumu Serikali basi waje waweke mambo sawa maana wanafanyishwa kazi alfajiri.
Ukiamka asubuhi unakuta barabara imenyooka utafikiri mkandarasi kanyoosha.....au Serikali imetoa fedha za barabara za mitaa huku viongozi madiwani wamekula?
CCM haina hurumaMimi ni Mkazi wa Mkoa wa Tanga, Wilaya Kilindi, Kijiji cha Kikunde naona huku wazee wanapata shida sana.
Wale wazee ambao hawajiwezi wanaopokea pesa za TASAF wamegeuzwa makatapila huku wanatengeneza barabara za mitaa sio mchezo.
Najiuliza kama Serikali inataka kutuulia wazee wetu waseme au ni viongozi wanahujumu Serikali basi waje waweke mambo sawa maana wanafanyishwa kazi alfajiri.
Ukiamka asubuhi unakuta barabara imenyooka utafikiri mkandarasi kanyoosha.....au Serikali imetoa fedha za barabara za mitaa huku viongozi madiwani wamekula?
Inasaidia sana kuwatoa uvivu. Ukweli halisi TASAF 3 na 4 ni mwiba mkali kwa Serekali yetu. Unatengeneza Masikini wengi zaidiMimi ni Mkazi wa Mkoa wa Tanga, Wilaya Kilindi, Kijiji cha Kikunde naona huku wazee wanapata shida sana.
Wale wazee ambao hawajiwezi wanaopokea pesa za TASAF wamegeuzwa makatapila huku wanatengeneza barabara za mitaa sio mchezo.
Najiuliza kama Serikali inataka kutuulia wazee wetu waseme au ni viongozi wanahujumu Serikali basi waje waweke mambo sawa maana wanafanyishwa kazi alfajiri.
Ukiamka asubuhi unakuta barabara imenyooka utafikiri mkandarasi kanyoosha.....au Serikali imetoa fedha za barabara za mitaa huku viongozi madiwani wamekula?
WANAFANYA usiku?Mimi ni Mkazi wa Mkoa wa Tanga, Wilaya Kilindi, Kijiji cha Kikunde naona huku wazee wanapata shida sana.
Wale wazee ambao hawajiwezi wanaopokea pesa za TASAF wamegeuzwa makatapila huku wanatengeneza barabara za mitaa sio mchezo.
Najiuliza kama Serikali inataka kutuulia wazee wetu waseme au ni viongozi wanahujumu Serikali basi waje waweke mambo sawa maana wanafanyishwa kazi alfajiri.
Ukiamka asubuhi unakuta barabara imenyooka utafikiri mkandarasi kanyoosha.....au Serikali imetoa fedha za barabara za mitaa huku viongozi madiwani wamekula?
Mjini patakuwa hapatoshi πππWasiishie kwa hao wazee hadi wadangaji kina cute wife wafanyishwe kazi ngumu