Tanga Wilaya nyingi na Wabunge wengi lakini Watu wake Maskini tofauti na kwetu Iringa

Mkoa maskini ni Kagera
 
Kwenu Iringa kuna maendeleo gani. Niambie Iringa ukiacha zile squater za Mafinga ni wilaya ipi ina makao makuu yake yana hadhi ya mji (Town council?) Tanga wilaya ya Korogwe utalinganisha na wilaya ipi huko kwenu? Bado Handeni ni Town council. Tanga ni jiji, kale kamji kenu kanatakiwa kashushwe hadhi ni kadogo kamedumaa. We Tanga umefika wapi au unaishi kwa hisia! Iringa ingekuwa na maendeleo watoto wangekuwa na udumavu wa lishe? Mmeiga upumbavu kwa wachaga siyo? Nyie waandunje bado sana
 
Eti matajiri ya kichaga, we bwege umejaa ukabila, wachaga washindwe kuchangamsha kwao wachangamshe kwa watu? We jinga lao
 
Maelezo Yako yote yanaunga mkono Hoja yangu

Ahsante sana ๐Ÿ˜„
 
Eti matajiri ya kichaga, we bwege umejaa ukabila, wachaga washindwe kuchangamsha kwao wachangamshe kwa watu? We jinga lao

Kabla ya kumkatalia Fanya survey uone alichoandika ni ukweli kabisa.
Nenda Handeni wachaga wamewafukuza wahindi , wahindi wameshindwa kuhimili ushindani wa biashara.
Wachaga wanaanzia shambani alfajiri msimu wa kilimo na wafanyakazi wao mchana wanakuja kufungua maduka mhindi hakuweza hiyo.
Nenda Tanga mjini siku hizi wachaga wame-dominate kwa maduka.
Mimi ni Tangaline OG lakini nimejifunza kujadili mada kwa kusimamia ukweli hata kama haunifurahishi.
 
Ulishafika Singida wee !
Ukishangaa ya Tanga utaona ya Singida !
 
Unawatania watani zetu kwa kuwa kule Iringa hamjaathiriwa na mifumo ya manamba wa kikoloni lakini sijui ni kipi kilichopelekea muwe na athari ya mabinti wa huko kuwa wasaidizi wa kazi za ndani huku mijini.....

Well...

UMASKINI ni fikra kabla ya mali....

Hayati JPM(resty easy ) aliwahi kuwasema ndugu zake wasukuma kuwa wao si masikini...pale ambapo mzee mmoja alipodai yeye ni maskini na maswali ya hayati JPM yakamfunua kuwa anamiliki ng'ombe 200....

Kwa hiyo UMASKINI ni fikra tu na wako waitwao MASKINI wa kipato labda kwa kutokuwa na nyumba za kisasa na mengineyo lakini ukweli unabaki ni "mentalities" zao tu.....

Hao wakazi wa Handeni wanapenda tu kuishi katika nyumba za matope na makuti.....

Serikali ya CCM imejenga miundombinu ya barabara na mengineyo ili kurahisisha huduma kwa wananchi sasa kama mwananchi anafanyiwa yote hayo na bado akabaki katika nyumba za udongo na nyasi sijui UMBADILISHE VIPI ?!!

N.B Wengi wa Manamba wa mjerumani walitokea mikoa ya bara ,wangoni ,wakurya ,wanyakyusa ,wanyamwezi , wasukuma ,wabena,waha n.k
Ukitaka kulijua hilo hebu zungukia vijiji vilivyokuwa na mashamba makubwa ya Mkonge(estates) mathalani Mwera ,Sakura ,Mikinguni ,Saadani ,Pangani na kwengineko utamaizi KIZAZI CHA MACHOTARA WA HAYO MAKABILA YA BARA NA WAZIGUA ,WABONDEI ,WADIGO ,WASEGEJU NA WASAMBAA...

#Mtu Hujikomboa Na Kuwa Bora Akitaka Ukombozi Na huo Ubora !!

#JMT milele dumu !
 
Huwa wanasema ni Watu wa Tanga ili muwakubali kirahisi sababu wanawake wa kitanga kwa wastani wanakubalika na wanaume wengi kwenye jamii .
Ile ni Mbinu ya kuvutia soko lao tu.
Fuatilia uone.
Sawa....

Ila kwa nini wasiwe na wakimakonde ilihali nao ni mabingwa katika "uwanda ule" ?!! Ha ha ha
 
Cheki sasa chuki yako kwa wachagga inakutoa ufahamu, mtu anaongelea tanga wewe unamwambia kaiga wachagga upumbavu, kuna upumbavu zaidi ya huo? Jinga kabisa
 
Acha kulinganisha Iringa na vitu vya hovyo! ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ